Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Msoga wanatuona wengine ni mafamba tu.Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbet na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi.
Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga.
Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao.
View attachment 2197741
Yamejitengenezea mifereji ya kudumu ya ufisadi wa kutisha.
Ipo siku wataimba haleluya bila kupenda