RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
Tatizo kuna maTz yanawatetea mafisadi, mtu anaingia kwenye siasa sio billionaire anatoka billionaire,sio fair kabisa na ni kodi wanakamua wananchi hadi uroto😀😀Kwa hiyo wewe na familia yako iendelee kutaabika kwa sababu kuna sheria itakayowachikulia hatua mafisadi...UPUUUZI..watu wamekalia wizi wa kodi zetu, na wanakuwa matajiri kwa kufirisi nchi....eti wapite mahakamani....
Nawahakikishieni, kama tungekuwa tunajielewa nchi hii katika ingebadilika...na moja kati ya vipengele kwenye mabadiliko ni kuwa Ukiiba mali za umma na ukathibitika kwa ushahidi unanyongwa INSTANT. Sheria hiyo ikiwe na MENO Nchi hii tungekuwa MBALI SANA.