Msoga wanatuona wengine ni mafamba tu.Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbet na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi.
Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga.
Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao.
View attachment 2197741
Kwani si inasemekana kuwa Watanzania wote ni masikini mkuu?Nina hisi wewe mtu masikini sana.
Kimwili na kimawazo.
Sijui kama yupoAkija raisi wa hivyo lazma wezi wamchukie
Kangala inapikwa kwa mahindi, mtama, uwele au uleziHii ni Ile pombe inayopikwa kwa kutumia pumba,WAHEHE waliidharau sana hiyo kangala kwaajili ya pumba
Hapana.Kwani si inasemekana kuwa Watanzania wote ni masikini mkuu?
Tanzania yangu eeh, Ipo siku tutafika wanapopatakaSamuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi.
Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga.
Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao.
View attachment 2197741
Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi.
Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga.
Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao.
View attachment 2197741
Kunawatu kama mtoa mada, ni masikini kimwili na kiakili.Mkichukuliana wanawake bar halafu mmoja akatwangwa risasi akasingiziwa ni fisadi sisi wananchi wa kawaida tutaupima vipi ukweli?
We are better than this!
... jinga lile; unaamini palikuwa na uzalendo pale? Marafiki zake wengine si tayari wanatumikia 30 yrs?Vipi Yule mzalenda na mtetezi wa wanyonge aLishindwa kuwawajibisha mafisadi, au alikuwa ana wadanga wananchi
Endelea kuota ewe muuza boha.....Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi.
Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga.
Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao.
View attachment 2197741
Takataka umejaza hapa JFSamuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi.
Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga.
Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao.
View attachment 2197741
Masikini wahed, tafuta mwanaume akuoe ili ufaidi vya bure,Weka mobil nikutumie pesa
Nakazia tena..ipo siku..hivi familia 5 zisione watz wajinga sana.Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi.
Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga.
Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao.
View attachment 2197741
Kwa hiyo wewe na familia yako iendelee kutaabika kwa sababu kuna sheria itakayowachikulia hatua mafisadi...UPUUUZI..watu wamekalia wizi wa kodi zetu, na wanakuwa matajiri kwa kufirisi nchi....eti wapite mahakamani....Hatupo kwenye hizi zama. Akitokea raisi muuaji bila kufuata taratibu ataondoka kwa mtindo unaofanana na huo au mtindo huo.
JAMHURI ina sheria na taratibu ilizojiwekea za makosa ya Jinai zinazohusisha mahakama.
Ukianza kuua watu kwa kisingizio cha Ufisadi huku kupuuza hizo taratibu zilizopo za nchi JAMHURI ina namna yake ya kudili na wewe hata ukiwa kiongozi wa juu kabisa.
Mawazo ya kijinga.Kwa hiyo wewe na familia yako iendelee kutaabika kwa sababu kuna sheria itakayowachikulia hatua mafisadi...UPUUUZI..watu wamekalia wizi wa kodi zetu, na wanakuwa matajiri kwa kufirisi nchi....eti wapite mahakamani....
Nawahakikishieni, kama tungekuwa tunajielewa nchi hii katika ingebadilika...na moja kati ya vipengele kwenye mabadiliko ni kuwa Ukiiba mali za umma na ukathibitika kwa ushahidi unanyongwa INSTANT. Sheria hiyo ikiwe na MENO Nchi hii tungekuwa MBALI SANA.
Tumegeuzwa misukule😀😀😀Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi.
Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga.
Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao.
View attachment 2197741