Fund man JF-Expert Member Joined Feb 24, 2021 Posts 3,629 Reaction score 4,831 Apr 24, 2022 #81 Muuza Kangala said: Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi. Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga. Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao. View attachment 2197741 Click to expand... Hata yeye naye alikiona Cha moto.alifilibwa na kutahiriwa bila ganzi.tena hadharani kinoma mama.
Muuza Kangala said: Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi. Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga. Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao. View attachment 2197741 Click to expand... Hata yeye naye alikiona Cha moto.alifilibwa na kutahiriwa bila ganzi.tena hadharani kinoma mama.
Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 13,417 Reaction score 23,310 Apr 24, 2022 #82 Muuza Kangala said: Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi. Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga. Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao. View attachment 2197741 Click to expand... Na je kilichompata Samuel Doe September 9, 1990 unakikumbuka? Alikamatwa na kikundi cha Johnson na kuburuzwa uchi kwa siku nzima mitaani.
Muuza Kangala said: Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi. Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga. Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao. View attachment 2197741 Click to expand... Na je kilichompata Samuel Doe September 9, 1990 unakikumbuka? Alikamatwa na kikundi cha Johnson na kuburuzwa uchi kwa siku nzima mitaani.
Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 13,417 Reaction score 23,310 Apr 24, 2022 #83 Muuza Kangala said: So what? Click to expand... What comes around, goes around. If you use a sword to kill you will perish by the sword
Muuza Kangala said: So what? Click to expand... What comes around, goes around. If you use a sword to kill you will perish by the sword
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Apr 24, 2022 #84 Muuza Kangala said: Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi. Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga. Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao. View attachment 2197741 Click to expand... Kwa Tanzania unahisi kiongozi yupi mstaafu atakuwa wa kwanza kuwekwa mtu kati ?
Muuza Kangala said: Samuel Doe aliwachapa risasi akina Tolbert na wapambe wake sababu ya dharau kama hizi. Unakwapua mali za umma na kuwaona watu wajinga. Halafu bado unaomba bunge liwapatie wake wa marais wastaafu mafao. View attachment 2197741 Click to expand... Kwa Tanzania unahisi kiongozi yupi mstaafu atakuwa wa kwanza kuwekwa mtu kati ?
F9T JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 2,677 Reaction score 4,959 Apr 24, 2022 #85 Kalunya said: Alikula karma,aliyemuua kwa ukatili ule siku hizi ni mchungaji anamtumikia Mungu yeye ndo anajua kama ni feki au original Click to expand... πππ Aliye muua Doe ni Prince Johnson , baada ya kushika nchi na yeye hakudumu akapinduliwa na Charles Tailor mwisho wa Siku akakimbilia πΊπΈπΊπΈ. Mwisho wa Siku na yeye karma ilifanya yake akakutwa amejinyonga huko kwa Biden
Kalunya said: Alikula karma,aliyemuua kwa ukatili ule siku hizi ni mchungaji anamtumikia Mungu yeye ndo anajua kama ni feki au original Click to expand... πππ Aliye muua Doe ni Prince Johnson , baada ya kushika nchi na yeye hakudumu akapinduliwa na Charles Tailor mwisho wa Siku akakimbilia πΊπΈπΊπΈ. Mwisho wa Siku na yeye karma ilifanya yake akakutwa amejinyonga huko kwa Biden