Katiba inasemaje kuhusu sifa za mgombea wa Uraisi?kuna sehemu imetoa takwa la DNA? Heb acheni hizi mambo za ukabila na DNA...hizi ni hoja za watu walioishiwa hoja...Sio heshima kuita mtu "kichwa panzi", hili la ushauri wa kutumia DNA Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu? umetokana na uzi huu Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?
P
Kama kikwete aliyekuwa anaenda Ohio Street alikuwa rais, kwa nini yeye asiweze?Mwanza Capripoint. Bonasera ni sehem wanapiga band ni kumbi ya starehe na ya kuburudika
Nchi imekuwa ya kijinga sana hii. Urais umekuwa kama suruali ya jinsi Kila mtu anavaaSafi kabisa, moja ya utabiri Bora kabisa , sio tabiri za ajabu , et ndege itaanguka ,
Kabla ya kuweza make Kila mtu anaweza. Je, ana hizo merits??Kama kikwete aliyekuwa anaenda Ohio Street alikuwa rais, kwa nini yeye asiweze?
Hii nji ina vijana wa ofyo sana.
Jina lake Dotto Biteko.
Ndio Rais anaefata baada ya Samia Suluhu. Ndio Rais ataefanya transformation kubwa za kiuchumi kwa taifa.
Atachanganya demokrasia na dictatorship kwa pamoja. Atakutana na vikwazo vingi ila raia watamuelewa na kumuunga mkono.
Haya ni maono yangu tu, sio habari za chini ya kapeti.
Tanzania itakuwa na Rais bora kabisa kuwahi kutokea nchini na Africa.
Ili kupata kura za sukuma gang 2025. Any sukuma gang kuja kuwa rais tena nchi hii....never and never againna Mama amemuacha tu kwa muda
Walihamia kutokea wapi ?Naunga mkono hoja!, hawa jamaa wa jirani zetu waliohamia Usukumani, kiukweli wana akili sana!. Baada ya jina hili kuanza kutajwa, naendelea kuisisitizia tena ile hoja yangu kuhusu Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?
P
Kwa haya majibu yako mkuu Lovelovie ni kama vile unamfahamu kiundani zaidi huyu jamaa(rais ajaye)[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Awezi kutokea akawa rahis labda akaoge mto Zaire mara elf moja na aende kweny pori la mbilikimo.
Jina lake Dotto Biteko.
Ndio Rais anaefata baada ya Samia Suluhu. Ndio Rais ataefanya transformation kubwa za kiuchumi kwa taifa.
Atachanganya demokrasia na dictatorship kwa pamoja. Atakutana na vikwazo vingi ila raia watamuelewa na kumuunga mkono.
Haya ni maono yangu tu, sio habari za chini ya kapeti.
Tanzania itakuwa na Rais bora kabisa kuwahi kutokea nchini na Africa.
Hata huyo mama yako aliupata urais pasipo matarajio ya watanzania.Amebebwa na katiba mbovu iliyopitishwa na watu wabovuHizo ni ndoto za mchana kweupe. Hata huo uwaziri alipwwa na Magu kwa upendeleo; na Mama amemuacha tu kwa muda
Jina lake Dotto Biteko.
Ndio Rais anaefata baada ya Samia Suluhu. Ndio Rais ataefanya transformation kubwa za kiuchumi kwa taifa.
Atachanganya demokrasia na dictatorship kwa pamoja. Atakutana na vikwazo vingi ila raia watamuelewa na kumuunga mkono.
Haya ni maono yangu tu, sio habari za chini ya kapeti.
Tanzania itakuwa na Rais bora kabisa kuwahi kutokea nchini na Africa.
Ulichokiandika kinauhusiano gani na hoja ya mezani? Kuwa na heshima kidogo.πππHata huyo mama yako aliupata urais pasipo matarajio ya watanzania.Amebebwa na katiba mbovu iliyopitishwa na watu wabovu
Huyu mleta uzi maisha anaona kila kitu sawa na bongo fleva tuTanzania ina watu wengi wenye tatizo la afya ya akili, ww afya ya akili yako imefikia pabaya, umekaribia ukichaa..!!