Gobole
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,806
- 4,670
Katiba inasemaje kuhusu sifa za mgombea wa Uraisi?kuna sehemu imetoa takwa la DNA? Heb acheni hizi mambo za ukabila na DNA...hizi ni hoja za watu walioishiwa hoja...Sio heshima kuita mtu "kichwa panzi", hili la ushauri wa kutumia DNA Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu? umetokana na uzi huu Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?
P
Narudia tena how sure are you yule jamaa yako ni Mtanzania?are you willing kumtag na nyuzi za DNA?