Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Sukuma Gang mumekosa shughuli mwishowe kuwa WACHAWI. Tafuteni kazi mufanye za kupatia vipato, hizi ndoto za KIWENDAWAZIMU hazina maana.

Samia ndiye Mwenyekiti wa CCM na siyo mjinga hata kidogo. Kama ametumia busara kiasi hilki kuwatuliza wapinzani ambao mtangulizi wake alikuwa anawapiga risasi, anawanyang'anya fedha, anawatupa jela, je atashindwaje kuwatuliza wana CCM?

Nakuhakikishia kuwa Samia ni mgombea wa CCM wa 2025 na atashinda kwa kishindo bila kuiba kura kwa kuwa mipango yake ya uchumi iko vizuri.
 
Wakati viongozi wote wa kamati kuu ni team Makunduchi. Yani hizi ni ndoto ichingi buana. Jina ni moja tu na tayari alishajipanga mwanzo mwisho
 
Hao wanaandaa vizimba vyao magerezani tu. Wanadhani mambo siku zote yatakuwa hivi kwamba ni wao tu...

Hakuna aliyewahi kudhani kuwa, Jiwe a.k.a John P. Magufuli angekufa haraka vile. Kama huyu alikufa kisiasa na kimwili, hawa kina Mwigulu na CCM wanaweza kufa pia hata kama siyo kimwili basi siasa zao zitafikia tamati si muda mrefu...

Wajifunze kwa hilo tu.
 
4. Siku ya mwisho ya kurejesha form jumla ya majina yatakuwa zaidi ya mawili, yatakayokuwa na vigezo ni mawili.

5. Jina la pili litapata nguvu ghafla na halita zuilika na litaleta mshtuko kwa wapinzani.
Kwanza hujajieleza ulipata wapi elimu yako ya unajimu, hata kama unayo hujaweka mifano ya uliyowahi kuyatabiria na yakatokea kama ulivyo yatabiri.

Na bado hujaeleza kikwazo cha taratibu za CCM zilizozoeleka, wakati huu kwa nini zisitumike.

Huku ni kujipa matarajio kusikokuwa na msingi wowote.

Lakini nami niwe mkweli, matarajio haya nitayaunga mkono.
 
Kama jpm angekuwa hai hii ilikuwa ni awamu yake ya vipindi viwili.Kwa.hiyo.huyu Ssh naye anamalizia sehemu ya kipindi kilichobaki maana naye alikuwa ni msaidizi wa jpm.Nasema tena naye atakuwa amemaliza kipindi chake cha utawala,hivyo ni lazima fomu zitolewa zaidi ya moja.Kidumu Chama cha .....
 
Nachokubaliana nawe pekee ni kwamba watajitokeza wagombea wengine zaidi ya rais wa sasa.
Sababu kubwa na ni sahihi kabisa samia hakupita tanuru la mchakato wa kugombea uteuzi kugombea urais bali amerithi urais wa magufuli. Wanaccm wanataka mgombea achekechwe na vikao vya chama anapoanza awamu yake ya kwanza ili hatimae tupate mgombea bora wala sio bora mgombea.
Itakapofanyika hivyo bila shaka itagundulika taifa bado halijakua tayari kuongozwa na mwanamke.
 
Naam samia awe na busara asije kutuletea shida kutuka kugombea. Atusaidie tu kupata rais mpya bora kama magufuli. Akifanya hivyo bila kutuchanganya tutamkumbuka... Maana umagufuli umemshinda.
Kuingia tu akaanza timuatimua ya wale wajamaa/magufulists kindakindaki. Kwa hilo hatutamsahau na kuleta wahuni waliyokua wanamchukia magufuli.
 
Kuhusu mgombea wa Urais kutokuwa Mwanamke hata mimi nafahamu
 
Swadakta
 
Mtanzania hawezi kusema haya,
Bila shaka atakuwa mkenya,
Kweli mama kawashika pabaya,
Na hapo ni ngorongoro tu, akianza kufukua na kwingineko 😂
 
Why are you contradicting yourself?? Mara wasahau mara ooh Mungu ahamue.

Yaani upepo unavuma halafu unauliza mku...ndu wa kuku unafananaje??
 
"Umagufuli umemshinda" samia si magufuli . Kila rais ana character zake na kamwe haziwez fanana.
And fomu atachukua na hamna kitu mtafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…