Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Kwenye nchi ya watu waoga na masikini wenye tamaa nazan hili haliwezekani
 
kwann waciwe tayar kuongozwa na mwanamke
hii akili ya namna hyo ni kilema kikubwa
 
haya waondoe ccm utawaweka wakina msigwa au
 
Dogo nakuruhumia sana unavyoteseka na mambo usiyoyajua.
Kwenye JF kwa watu wanaotumia fake ID wote wana umri sawa, unless mtu yuko verified kama Pascal Mayalla. Unaniita "dogo" nikiweka jina langu halisi unaweza kujilaumu. Maana naweza kuwa ndiye Boyfriend (Mchepuko) wa Mama yako mzazi. Heshimu watu tafadhali Dokta Uchwara
 
Dadek
 
Utabiri una mafumbo, nabii kama Yusufu angepasua tu ng'ombe 7 wanono miaka 7 ya shibe na ng'ombe 7 waliokonda miaka 7 ya njaa haya hebu twambie Mabeyo ndiye anatabiriwa??
 
Mbona inafahamika kijani tutakwenda na ****** wa ****** huo mwaka 2025!! Kuachia kigoda cha mjengoni kumempa nafasi ya kupata muda wa kushughulikia hilo!
 
Ningekuwa Professor Lipumba, ningesema. "SAWA SAWA".

Umenena vyema bt 2025 Bado mbaal mno. Bado tunamdai aliepo mengi hayajafanyika. Najua mmechoka.

Bt imebaki miaka 3 na nusu, Si sawa kupandisha "homa ya uchaguzi" muda huu.

Alitukosea sana kukiri kugombea 2025 Akali ana mwaka mmoja tu!
 
ukitaka kuruka sharti agana na nyonga..
kwa upepo ulivyo. nafasi ya urais itakuwa ya kuogofya kwani kabla ya 25 mpango atakuwa rais tayari.
mama yenu atapumzishwa kwa manufaa ya "UMMA"
na akikaidi ata leftishwa in Peace
Nachukulia hii comment kama ni KUMTISHIA Rais aliyeko madarakani.

Usifanye hivyo next time
 
Bado mbali sana mkuu
 
ukitaka kuruka sharti agana na nyonga..
kwa upepo ulivyo. nafasi ya urais itakuwa ya kuogofya kwani kabla ya 25 mpango atakuwa rais tayari.
mama yenu atapumzishwa kwa manufaa ya "UMMA"
na akikaidi ata leftishwa in Peace
Mapinduzi ya tanzania mazuri sana huwa hawatumii nguvu nyingi mmoja anaondoka mwingine katiba inamchukua
 
Itakapofanyika hivyo bila shaka itagundulika taifa bado halijakua tayari kuongozwa na mwanamke.
Mawazo ya kisenge haya. Unasema "Taifa halijawa tayari kuongozwa na mwanamke", wakati anayeongoza ni mwanamke toka 2021 mwezi Machi? Ni utayari upi unaomaanisha? Pili je umesoma Katiba ya JMT imesemaje kuhusu sifa za Rais? Yaani Sukuma gang mnapagawa, Nchi iko salama na Rais SSH
 
Wananchi kuongelea uchaguzi 2025 ni ikiwa imebaki miaka 3 na nusu inatia shaka.

Ni kuashiria kuwa WAMECHOSHWA na yanayoendelea nchini Sema tu hawana la kufanya.

Tafadhali wabadilishwe Hawa mawaziri 4 labda minong'ono itapungua mtaani,

Mtumbue MADELUU, KAMBA, PENA na yule Mtoto wa NANII. Tafadhali kdogo tupumue, wametukalia kooni sana.

Amen
 
Tatizo Si MWANAMKE, tuangalie capacity.

Hoja haipigwi Rungu

Mchukue Anne Makinda, Halima Mdee,Prof Ndalichako au Asha Rose Migiro, mchukue na aliepo, wachanganye pamoja.

Afu walete Kwa wananchi wachaguliwe Kwa kura kama itabaki ilivyo. Amen
 
Siku hizi urais ni dili tu kama madili mengine! Mpaka kina Pre-february wanaota urais, kisa ni mabingwa wa madili!!!
 
KATIBA mpya ni Muhimu kuliko utabiri wa Rais ajaye Kwa sasa. Amen
 
Mkuu
Hawezi kuwagusa hao

Kwenye ile hadithi ya yoga!

Mama aliopewa briefcase ya majina ya kuteua na tarehe zake kabla hajaapishwa !alipoapishwa alianza kuteua pole pole Hadi January mwaka huu ikawa ndio kilele cha utekelezaji wa List ile aliopewa na Born town!!

Kama haupo KWENYE ile list usubiri Hadi utawala itakapo badilika!!!

TUSUBIRI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…