Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Kwa akili yako unaona Prof Ndalichako ana uwezo wa kuwa Rais mzuri kumzidi Samia?
Ndalichako ni msomi na mwanataaluma.

Samia ni mcheza vigodoro na sekretari wa NGO.

Chagua nani anafaa zaidi kati ya wawili hao.
 
Kuna hoja imeibuliwa na Dr Uchwara kuwa aliepo amechaguliwa uenyekiti Kwa miaka 2, yaani Kwa matazamio, chimbua ukwelii wa hoja hiyo.
 
Kuna hoja imeibuliwa na Dr Uchwara kuwa aliepo amechaguliwa uenyekiti Kwa miaka 2, yaani Kwa matazamio, chimbua ukwelii wa hoja hiyo.
Hoja hiyo inalandana na kifungu cha kikatiba kisemacho namba Moja anapoitwa Kule makamu hushika kiti chini ya uangalizi wa miaka MBILI kuona kama anaweza!!kama hawezi anaambiwa achia ashike Mwingine Mwenye capacity!!
Nadhani CHAMA ni chambo tu lakini hatma ipo kikatiba kabisa ya sasa!

Na hapo zengwe huchezwa kukutemesha kitumbua !inawezekana hata hayo makodi na wamasai ikawa shere ya kumtoa Relini Kumbuka pia kumnanga marehemu kukazua hasira ya kanda ya nyanza akapoteza uungwaji mkono wa kanda kubwa MBILI hizo!!!
Wakamuweka kapuni!!

Tayari wamefanikiwa kule kanda ya nyanza na Sasa wanakamilisha kanda ya kaskazini halafu rasmi wamwambie umepoteza mvuto HUKO!!!
TUSUBIRI
 
Vizuri.

Tusubiri.
 
3. Mwanaume mmoja atachukua form kimya kimya.

4. Siku ya mwisho ya kurejesha form jumla ya majina yatakuwa zaidi ya mawili, yatakayokuwa na vigezo ni mawili.

5. Jina la pili litapata nguvu ghafla na halita zuilika na litaleta mshtuko kwa wapinzani.
Huyo mwanamme uliyeonyeshwa kwenye maono yako ni mimi.
Kwa hali hiyo nimeamua kutochukua tena form na hivyo kumpisha Mama aendelee mpaka 2030; na hivyo hatakuwa na upinzani tena kutoka ndani ya chana chake ifikapo 2025
 
Turudi kwenye HOJA,

Upande wa chama Cha KIJANI Wana Utaratibu huu.

Rais mpya anapoingia madarakani, Rais mstaafu anaendelea na Uenyekiti wa chama Kwa miaka 2.

Utakumbuka Magu amekabidhiwa baada ya miaka 2 akiwa madarakani

Hii wanaofanya makusudi kumlinda mstaafu japokuwa anayo Kinga ya kutoshtakika.

Kwa scenario iliyotokea ktk Taifa letu, NANAKI Hana mamlaka juu ya mkt sababu ameshapewa uenyekiti, mamlaka hayo wanayo WAZEE wa JIKONI watumie mwanya wa KATIBA.

Kupita Kwa mjoli hesabu yake ni ya ki MUNGU, hesabu ya kibinadamu inabaki Kwa mtoto wa Mzee ruksa au yule wa kigoma. Amen
 
ukitaka kuruka sharti agana na nyonga.

kwa upepo ulivyo. nafasi ya urais itakuwa ya kuogofya kwani kabla ya 25 mpango atakuwa rais tayari.
mama yenu atapumzishwa kwa manufaa ya "UMMA' na akikaidi ata leftishwa in Peace
Hapa kidogo umeanza vizuri ila hujamalizia na mpango nae je?
 
Ila kiukwel mm NAICHUKIA cccccmmm kuliko hata kiongozi aliepo.

Chama hicho ni UGONJWA mbaya sana.
 
Yaani wapinzani wa nchi hii ukiwaangalia kiundani ni kama hawana mpango wa kuchukua dola, wao kufanya vizuri ni mpaka ccm wakosee ccm wakifanya vizuri wanapoteana. Ukifuatilia vizuri utagundua kuwa toka JPM ameingia madarakani na kutekeleza sera za upinzani kwa asilimia kubwa upinzani uliyeyuka kama barafu, sababu wananchi hawakuona sababu ya kuunga mkono upinzani ambao wao sera zao zilihamia kwenye kukosoa serikali kwa kila jambo.
 
Wakati viongozi wote wa kamati kuu ni team Makunduchi. Yani hizi ni ndoto ichingi buana. Jina ni moja tu na tayari alishajipanga mwanzo mwisho
Kwamba mama ni mjanja kuliko menta wake?

Nini kilimkuta menta hata akapitisha jina la Jiwe? Hakuwa amejipanga? Wajuvi waliandika humu sababu za Mangula kurudishwa kwenye mfumo kipindi kile, ni kweli alihutajika kuokoa jahazi?

Ni kweli kuwa bila marehemu kuingilia kati pale, leo tungekuwa na chama b?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dogo unahangaika sana na samia.

Huyo hafiki popote baada ya 2023.

Jiandae kuwa chawa wa kibaraka mwingine atakayewekwa ikulu kuanzia mwaka huo.

Utateseka mno bwana mdogo.
Endelea kuota! Ni haki yako
 
Tafsiri na Kwa KISWAHILI. Amen
Kwa kiswahili
[emoji116][emoji116]
Danieli 5
25 Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.

26 Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.

27 TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.

28 PERESI, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
CCM wana print fomu moja tu kama 2020. Sasa huyo wa kiume labda aje na fom yake
 
Samia atashinda bila kuiba kura? Nani sasa atamchagua! Watanzania hawa ambao wanajionyesha wazi hawamkubali ndo watampigia kura? We itakuwa haupo TZ huyajui yaliyopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…