Utabiri: Mungu tunaileta mbele yako kamati itakayopitisha jina la Rais wa Tanzania 2025


Siasa hazitabiriki wala hazina utabiri.
 

Wafuasi wake wanajifanya kusahau hili.
 
Jambo la kwanza kabisa, thibitisha huyo Mungu yupo.

Jambo la pili, kama huyo Mungu anajua yote, anapanga yote, wewe unamuomba nini wakati alichopanga kitakuwa? Unafikiri wewe ndiye unaweza kumbadilisha mawazo huyo Mungu apangue alichopanga?
 

Punguza upotoshaji. Mungu hawezi kuleta katili na mbaguzi kuwa Rais wa Tanzania. Acha kumhusisha Mungu na mambo ya kijinga. Nyie ndio wale mnaenda kuiba benki mkitoka salama mnadai Mungu amewasaidia. Unamwaga damu ya watu halafu unajidai Mungu amemtwaa, tofautisha Shetani na Mungu.
 

Wewe unamuona ni binadamu, Mimi namuona ni ibilisi ndio maana alipokufa kwa kujificha kutokana na aibu, nilijua Mungu wa haki yupo.
 
Ungeuliza, azimio la MAKAMBA senior kuhusu kuwashawishi wajumbe kupitisha azimio kuwa mgombea ni Sa100 lilipuuzwa vp tungepata Nuru!!

Kwann wajumbe hawakuazimia Kwa pamoja juu ya mgombea 2025?

Akiba ya maneno ni muhimu.

Haijawahi tokea. Mgombea anapitishwa 2025. Mnaongea kufurahisha genge tu.
 

Mbona hamkusema hivyo 2020?.
 

Ngoja nione CCM mnavyoraruana, maana adui muombee njaa.
 
Nilipoona JP nikajua tayari huu uzi ni useless na mleta uzi ni punguani
 
Wewe ni idiot na zero brain. Hiyo chanjo ya Mama ilikusaidia nini??? Mbona USA wamesem chanjo haikutakiwa? Just wait mlio chanja wote you’re going to die kifo cha mende

Chanjo inaua tangu lini?. Kupitia chanjo Dunia imerudi kwenye normal life. Na rate ya maambukizi yakapungua. Halafu marekani gani imesema hivyo?.
 
Chanjo inaua tangu lini?. Kupitia chanjo Dunia imerudi kwenye normal life. Na rate ya maambukizi yakapungua. Halafu marekani gani imesema hivyo?.
Dah wewe idiot big kabisa. Mliochanja wote ni marehemu
 

Wewe Ni mnafiki Sana. Nakumbuka kipindi unamtishia Maisha been Saanane, na kweli akapotea mpaka leo. Leo unajifanya muombaji kumbe ni muuaji tu Kama wengine. Punguza unafiki.
 
Wachache wanaweza kuelewa hili bandiko.

1.tetesi- madam Ni mtoto wa Mwinyi. Mwinyi alikuwa Rais. Na Sasa Mwinyi Ni Rais pia.

2.Maandalizi-Ridhiwan Naibu Waziri, muda kidogo- Naibu Waziri ofisi ya Rais - Utawala bora.Baadae kidogo atakuwa Waziri kamili.

Huu utawala bora ndiko wale wa suti nyeusi waliko. Anaandaliwa kuijua nchi.

Baadae kidogo Kituo kinachofuata ni kwenye ile wizara ya Diplomasia. Au Ulinzi.

Baada ya Project ya Membe kufeli na Jiwe kusepa Ile familia ya Msoga imepata backup imerudia KWA kasi.

Nchi inamilikiwa na familia mbili kwa Sasa.

Katiba mpya inahitajika, huu urais wa mserereko, Kuna siku itatokea makamu wa Rais akawa mtu wa hovyo akamuuwa Rais ili awe rais.Mungu epusha hilo.
 
Dah wewe idiot big kabisa. Mliochanja wote ni marehemu

Punguza kuvuta bangi chooni we bwege, nimekuuliza swali dogo , tangu lini chanjo inaua?. Umekimbilia kwenye matusi. Ushauri tu punguza bangi sio nzuri kwa mwanamke.
 
Ndoto za Alinacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…