Utabiri: Mwaka huu hautaisha kabla ya Dola ya Marekani kufika 3000Tsh

Bei ya dola inaendana na forces za demand and supply, ambazo zinaendana na balance of trade, import and export.

Nchi kama Tanzania ikiwa ina import sana na exports ni ndogo, dola itapanda tu.

Sasa mna import mpaka toothpicks, dola itashukaje?
 
Ndio maana nikasema kuna uwezekano ikafika 3000tsh ndani ya mwaka huu.
 
Dola huenda itashuka thamani maana black market saiv ni 2790 Kuna kipindi ilikua 2830

NB; Sina uelewa mpana wa masuala ya kiuchumi
Pesa ya Zimbabwe (ZWL) iliwahi kushuka mpaka mtu unaenda sokoni na tololi la minoti eti tololi zima kwa kuchenge to Tz ni shilling 40000.
Wakaona ni ujinga walicho fanya wanatumia USD doral kama pesa ya taifa.
 
Kufunbndisha vijana wetu kulima mihogo?
Nimetoa mfano tu lakini ni kwa kila zao.
wakulima wetu hawana utaalam wa kulima na mazao kwa kowango kinachohitajika.
wasomi wenye elimu ya kilimo sio wakulima .
Wenzetu wanalima kama kazi na ajira ya muda wote . Sisi kwetu wasomi wanalima kwa kusikia kuwa bei imepanda . ikishuka hawalimi. Kumbe ilitakiwa serikali muda wote iwasaidie wakulima ili mazao yasipande sana bei wala yasishuke sana ili majirani wasiweze kushindana kulima zaidi waone soko la uhakika la kununua chakula lipo Tanzania.
watu wanatakiwa wajifunze kulima kwa wingi zaidi na sio kulima kidogo kwa bei kubwa.

Vyakula vikiwa vingi utakua na kuku wengi,ngombe wengi , samaki wengi, nguruwe wengi ,kanga wengi, kondoo, wengi, mbuzi wengi ,punda wengi n.k.
Vyakula vitashuka bei kwenye soko la ndani na mzunguko wa fedha utakua mkubwa ndani ya nchi na kuuza nje pia .
 
Bashe amefanya utapeli wa kupeleka makada Israel ni nini kimetokea? ni utapeli tupu, waje wafundishe watu wengi
 
Mpaka sukari 😁😁😁 awajui tunavyo fanya manunuzi ya nchi pesa za kigeni zinapungua yani nisawa pesa za tz zinakua nyingi sokoni na wanunuzi awapo lazima ziuzwe kwenye mafungu tu kuvutishia wanunuzi.
Bei ya dola inaendana na forces za demand and supply, ambazo zinaendana na balance of trade, import and export.

Nchi kama Tanzania ikiwa ina import sana na exports ni ndogo, dola itapanda tu.

Sasa mna import mpaka toothpicks, dola itashukaje?
 
Pesa ya Zimbabwe (ZWL) iliwahi kushuka mpaka mtu unaenda sokoni na tololi la minoti eti tololi zima kwa kuchenge to Tz ni shilling 40000.
Wakaona ni ujinga walicho fanya wanatumia USD doral kama pesa ya taifa.
Hapo sasa wale wataaalamu wa uchumi watusaidie kwenye masuala ya fiscal & monetary policy ili sarafu yetu iwe na stability
 
Mkuu jambo obvious halina utabiri. Ni sawa na kusema mwaka huu itanyesha mvua.
 
Kenya wanazalisha, wana viwanda vingi kwa hiyo mahitaji yao mengi ni ndani yanatoka. Tanzania uzalishaji ni mdogo sana hapa kuwa wachuuzi tu na pia tumefanya miradi mikubwa sana pamoja na ndege kwa hiyo balance inapotea. Demand and supply. Tuache kutoza kodi kwa $ tupige marufuku matumizi ndani ya nchi kwa dola.
 
Sasa nigeria kimeumana pesa imeshuka kalibu mara 5 ya pesa yetu mpaka watu wananunua doral kwaajili ya baadaye.
 
Bashe amefanya utapeli wa kupeleka makada Israel ni nini kimetokea? ni utapeli tupu, waje wafundishe watu wengi

Siku hizi wanaopelekwa sio wakulima ni Marafiki na ndugu ,machawa na mahawara.

Mafano tu vijana wanaomaliza Vyuo vikuu vya kilomo walitakiwa wapelekwe Kufundisha Kilimo JKT na Magereza badala ya kuendelea kulima kwa kusimamiwa kama jeshi iwe ni kuwajengea vijana uwezo na utaalamu katika kilimo badala hali ya sasa ya kusema ni kuwatoa vijana utaia huku wakiwa hawana uwezo wa kulima hata mchicha majumbani mwao na kuuza au kupata chakula .
 
Upo sahihi kila kitu kimegeuzwa fursa kwa makada wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…