Utabiri: Ni suala la muda tu kabla Mwigulu hajaondolewa katika nafasi yake kwa kubadilishwa wizara au kuondolewa kabisa katika Baraza la Mawaziri

kiongozi mzuri ni yule anaejali maslahi ya watu wa hali ya chini, anamchonganisha mama na wananchi, muangalie sana huyu mtu
 
Kama aliwekwa hapo ili azidi kuchafuka kama alivyokwisha chafuka katika ile Wizara ya Mambo ya Ndani aliyokuwa kwanza.
Kwani Magufuli aliona azidi kumchafua akamwondoa baada Viongozi wa Dini kuingilia kati mambo aliyokuwa yanaendelea Nchini yaani ya watu kutekwa na kupotea na baada ya kuondolewa hayo mambo yalipungua.
Kama Mama anataka kujiweka vizuri ni kumtea katika Ubalozi tu ili awe ktk unangalizi kwani urais wa 2025 una mambo mengi na tukumbuke kuna wengine wameshaanza kujipanga kuanzia sasa hivi ndo maana Shaka aliyatolea kauli.
Tukumbuke uongozi sio jeuri kwani uongozi ni dhamana.
 
Mkuu Kishina cha Mshahara, Salary Slip, kwanza naheshimu mawazo yako, ila natofautiana na wewe. Kwanza nchi haindeshwi kwa utabiri, hivyo endelea tuu kutabiri.

Pili hizi ni kelele tuu za chura kisimani, hazimzuii mnywa maji, au kelele za mlango, hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi, endeleeni kupiga kelele mchana, usiku mtalala!.
Kwa maneno mengine, yeye kuendelea kuwa waziri,. sasa kunamgharimu kisiasa Bosi wake
Sii kweli, hizi kelele za tozo hazumgharimu chochote kisiasa na wapiga kelele baada ya kuona Mama hasikii, sasa wanaanza na kumchomekea na makorokocho ya yuotong!. Haisaidii kitu!.
jambo ambalo sidhani kama Mama ataendelea kulivumilia.
Kwa by nature, mwanamke ni mvumilivu sana, hivyo Mama ni mvumilivu wa kuvumilia vivu, fitna, husda ndio maana ameweza kuolewa ndoa ya mitala na amevumilia.
Hivyo, ni swala la muda tu kabla hajaondolewa na mtihani pekee kwa Mama anamuondoaje au anamuondoa katika mazingira gani.
Hakuna kitu kama hiki
Uondolewe kwa kosa gani?!. Mtu yoyote akiondolewa na mamlaka ya nidhamu ni lazima liwepo kosa!. Mwigulu ana kosa gani?.
Kwenye hili kuna kitu kinaitwa a scapegoat to cover a political liability, yaani mwanasiasa kufanywa mbuzi wa kafara kufunika makosa ya bosi wake, hili ni kweli hufanyika ila lina gharama kubwa za karma baadae. Tusikubali kumgharimisha Mama kwa karma zisizo za lazima!.
Japo hapa Bongo na Afrika kwa ujumla utamaduni huu haijazoeleka sana, ila tartatibu tunaanza kuzoea na mifano teyari iko mingi na hapa kwetu yameshatokea hivyo Mwigulu is the next whether ana hatia au laa.
I don't think so!.
Bashite is a good example japo ilichukukuwa muda.

Time will tell.
DAB hakuwahi kutumbuliwa, aliondoka mwenyewe!.
P
 
Mkuu hata ukarani wa sensa walikuacha jamani!
 
Mkuu hata ukarani wa sensa walikuacha jamani!
 
Mama lazima aangalie waajiri wake wana mtazamo gani na wateule wake ili nae awe salama kwenye sanduku la kura wakati ukifika hata kama Tume yetu si huru.
BAVICHA mnatumia akili kweli? Sanduku gani la kura unalizungumzia? Kwa tume ipi ya Uchaguzi? Unazani anayo fanya Mwigulu hayana baraka za samia? Hujui kuwa yalipitishwa bungeni?
 
Mama lazima aangalie waajiri wake wana mtazamo gani na wateule wake ili nae awe salama kwenye sanduku la kura wakati ukifika hata kama Tume yetu si huru.
BAVICHA mnatumia akili kweli? Sanduku gani la kura unalizungumzia? Kwa tume ipi ya Uchaguzi? Unazani anayo fanya Mwigulu hayana baraka za samia? Hujui kuwa yalipitishwa bungeni?
 
Hizi tabiri ndio zinaweza kuharibu kila kitu, tukomolewe na mtawala.
 
Kwamba anamuondoaje ? Si anamfukuza tu ili naye atangulie Burundi, Mwigulu Mungu amemkataa
 
Umeandika porojo nyingi bt nimesita kdg ulipoandika '' Ni mvumilivu maana ameweza vumilia mitala".

Nakusoma btn the lines!!!!!
 
Inategemea na zile dawa kama hazija expire na hazijafanyiwa featuring...
 
Hizo ni ndoto za mchana ashawaloga hawamuwezi
 
Chemba asipojiuzulu, asipoondolewa na mkubwa wake, basi ataenda kulala gizani na babaze akiwa waziri.
 
Katika maisha usipokula pekee yako upo salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…