Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Mwigulu amechemsha,hafai kuwa Waziri,mnataka aharibu zaidi Uchumi wa nchi ndiyo tuje ku-regret!!Mkuu Kishina cha Mshahara, Salary Slip, kwanza naheshimu mawazo yako, ila natofautiana na wewe. Kwanza nchi haindeshwi kwa utabiri, hivyo endelea tuu kutabiri.
Pili hizi ni kelele tuu za chura kisimani, hazimzuii mnywa maji, au kelele za mlango, hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi, endeleeni kupiga kelele mchana, usiku mtalala!.
Sii kweli, hizi kelele za tozo hazumgharimu chochote kisiasa na wapiga kelele baada ya kuona Mama hasikii, sasa wanaanza na kumchomekea na makorokocho ya yuotong!. Haisaidii kitu!.
Kwa by nature, mwanamke ni mvumilivu sana, hivyo Mama ni mvumilivu wa kuvumilia vivu, fitna, husda ndio maana ameweza kuolewa ndoa ya mitala na amevumilia.
Hakuna kitu kama hiki
Uondolewe kwa kosa gani?!. Mtu yoyote akiondolewa na mamlaka ya nidhamu ni lazima liwepo kosa!. Mwigulu ana kosa gani?.
Kwenye hili kuna kitu kinaitwa a scapegoat to cover a political liability, yaani mwanasiasa kufanywa mbuzi wa kafara kufunika makosa ya bosi wake, hili ni kweli hufanyika ila lina gharama kubwa za karma baadae. Tusikubali kumgharimisha Mama kwa karma zisizo za lazima!.
I don't think so!.
DAB hakuwahi kutumbuliwa, aliondoka mwenyewe!.
P
Huna akiliSiku nyingine tuwe tunaomba picha za mtu anayetaka kuwania uongozi kabla hajafanikiwa.
Maana nimechunguza kuwa viongozi wenye background za kimaiskini na hawana exposure wakiingia kwenye nyadhifa wanakuwa na kiburi na wanavimba sana na kujiona wao ni mazimba.
Sasa huyu mchunga mbuzi ona mambo yake.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambieni ahamie Kanisa Katoriki au BAKWATA, vinginevyo asahau kupitia KKKT yake.Historia ya nchi ni muhimu akaijua vizuri,nadhani ata wewe Pascal hili u alijua japo alisemwi.Mkuu Marytina, naunga mkono hoja na kiukweli atakuwa ni mzuri sana, akina sisi tuliisha wahi kumfanyia assessment huko nyuma Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!
P
Unataka kusema mwigulu ndo analeta hizo tozo?Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri.
Kwa maneno mengine, yeye kuendelea kuwa waziri,. sasa kunamgharimu kisiasa Bosi wake jambo ambalo sidhani kama Mama ataendelea kulivumilia. Hivyo, ni swala la muda tu kabla hajaondolewa na mtihani pekee kwa Mama anamuondoaje au anamuondoa katika mazingira gani.
Katika siasa, hata kama hujatenda kosa lolote, ila ikatokea umma unakuunyoshea kidole au kutajwatajwa mara nyingi kwa mambo yasiyopendeza, basi uwajibikaji wa kisiasa huwa haukwepiki ama kwa kuwajibika mwenyewe kwa kujiuzulu nafasi yako, au kusubiri kuonddolewa na Mamlaka yako ya kinidhamu.
Japo hapa Bongo na Afrika kwa ujumla utamaduni huu haijazoeleka sana, ila tartatibu tunaanza kuzoea na mifano teyari iko mingi na hapa kwetu yameshatokea hivyo Mwigulu is the next whether ana hatia au laa.
Bashite is a good example japo ilichukukuwa muda.
Time will tell.
Waziri wa Fedha analalamikiwa kwa sababu ya tozo mpya ambazo hupelekwa Bungeni kama mswaada na hupitishwa na Rais kuwa Sheria.Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri.
Kwa maneno mengine, yeye kuendelea kuwa waziri,. sasa kunamgharimu kisiasa Bosi wake jambo ambalo sidhani kama Mama ataendelea kulivumilia. Hivyo, ni swala la muda tu kabla hajaondolewa na mtihani pekee kwa Mama anamuondoaje au anamuondoa katika mazingira gani.
Katika siasa, hata kama hujatenda kosa lolote, ila ikatokea umma unakuunyoshea kidole au kutajwatajwa mara nyingi kwa mambo yasiyopendeza, basi uwajibikaji wa kisiasa huwa haukwepiki ama kwa kuwajibika mwenyewe kwa kujiuzulu nafasi yako, au kusubiri kuonddolewa na Mamlaka yako ya kinidhamu.
Japo hapa Bongo na Afrika kwa ujumla utamaduni huu haijazoeleka sana, ila tartatibu tunaanza kuzoea na mifano teyari iko mingi na hapa kwetu yameshatokea hivyo Mwigulu is the next whether ana hatia au laa.
Bashite is a good example japo ilichukukuwa muda.
Time will tell.
Kwahiyo baadhi ya tozo inaenda huko ??!! Duh !!Hat mm naliona Hilo na akiondoka tu mwisho wa singida big star unaitimika
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Na kauli za kuhamia Burundi ni sawa ?Waziri wa Fedha analalamikiwa kwa sababu ya tozo mpya ambazo hupelekwa Bungeni kama mswaada na hupitishwa na Rais kuwa Sheria.
Kwahiyo kama Mh. Rais atamuondolea au kumbadilishia wizara basi itakuwa ni kwa sababu nyingine na sio Tozo za serikali.
Ndio,pia yupo aliye sema asiye toa 200 ya kivuko apige mbizi na akashinda kwa kishindo.Huyu huyu anayekejeli umma kuwa asiyetaka tozo ahamie Burundi huko?!!!
Inashangaza sana mijitu inakomaa na Mwigulu,ambaye anafuata tu maelekezo ya Rais,watu inabid wakomae na samia mwenyewe badala ya Mwigulu..halafu wanatishia eti watamtoa 2025..kwa Tume ipi ya Uchaguzi? Ambayo Rais ndo huwateua watendaji wake?Kwani maamuzi anayofanya yanaanzia kwa boss wake? If Yes, hakutokuwa na UMUHIMU kumtoa Ili Hali tozo zipo palepale
#achawivu #tafutahela #ageisjustanamba #chapakazi #majungusimtajiHata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri.
Kwa maneno mengine, yeye kuendelea kuwa waziri,. sasa kunamgharimu kisiasa Bosi wake jambo ambalo sidhani kama Mama ataendelea kulivumilia. Hivyo, ni swala la muda tu kabla hajaondolewa na mtihani pekee kwa Mama anamuondoaje au anamuondoa katika mazingira gani.
Katika siasa, hata kama hujatenda kosa lolote, ila ikatokea umma unakuunyoshea kidole au kutajwatajwa mara nyingi kwa mambo yasiyopendeza, basi uwajibikaji wa kisiasa huwa haukwepiki ama kwa kuwajibika mwenyewe kwa kujiuzulu nafasi yako, au kusubiri kuonddolewa na Mamlaka yako ya kinidhamu.
Japo hapa Bongo na Afrika kwa ujumla utamaduni huu haijazoeleka sana, ila tartatibu tunaanza kuzoea na mifano teyari iko mingi na hapa kwetu yameshatokea hivyo Mwigulu is the next whether ana hatia au laa.
Bashite is a good example japo ilichukukuwa muda.
Time will tell.
Mpaka tuamke watakuwa wameshamaliza kila kituWalamba asali ulindana