Utabiri: Weekend hii Simba na Yanga zote zitafungwa huko katika mechi zao za kimataifa

Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.

Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...

Tupia na wako...

Thread kama hizi huwa tunazinukuu halafu tunakaa pembeni hadi siku ya mechi...
 
Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.

Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...

Tupia na wako...
Mungu yupo nao pia
 
Kilo anakula tatu, mwananchi anapiga mtu1
 
Nimeota timu moja itashinda na nyingine itafungwa
 
YANGA NA SIMBA... KIPINDI HIKI SIO SAWA NA MIAKA ILE NDUGU.... WATU WAMEWEKEZA NA WANA WACHEZAJI WENYE UZOEFU MKUBWA....
Safi sana Ndg. Komenti yako ni ya ukomavu mkubwa
 
Hili neno kibonde hufunua upumbavu wa werevu wengi.
 
Simba watashinda kwasabau ifuatayo-

Simba walikua na mechi za kujipima nguvu maandalizi ya cafcl timu kubwa tofauti tofauti.
,,,,,,,,,,,,👆

wakati huo wapinzani wao Horoya awakua na mechi yoyote tangia walipocheza mechi ya mwisho ya ligi ya Guine tarehe 21 January.
 
Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.

Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...

Tupia na wako...
SIMBA atashinda ama atatoa suluhu yanga atafungwa si chini ya mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…