Utabiri: Weekend hii Simba na Yanga zote zitafungwa huko katika mechi zao za kimataifa

Hakiba ya maneno inatakiwa
Usitakune mamba kabla haujavuka mto
Kinywa cha babu kinanuka lakini kinanena ya busara
Usisifie kibovu
 
Bandiko lefu kama usiku wa maluwe luwe
 
Sijui una hali gani huko uliko.

Maana umeharisha Sana Tena kinyesi chenye manyoya ,ona hii aibu unayiipata kwa kujiona unaujua mpira wakat mpira haukujui.
Muda mwingine mjifunzage kukaa kimya ,inaepusha aibu ndogo ndogo Kama hizi ,ngoja Jamaa nae aje akunyee Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee ni kichaaaa?? Wahi milembe haraka sanaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safari hii....Timu za bongo zote zitaburuza mkia kwenye makundi.

Simba SC 0:2 Raja Casablanca


[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…