UTAFITI: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na Ukweli wake

Status
Not open for further replies.


Brother Huyu Jamaa,
Ndio maana ninasema ni mtu wa kuhurumiwa sana,
Ni bora kabisa kukosa mali kuliko kukosa akili na utambuz wa mambo,
Hapa sasa kila mwenye akili zake timamu ataona ni kwa jins gani huyu jamaa alivyo mtupu kichwani.
 
Last edited by a moderator:

Usipotoshe ukweli,

Soma nilicholeta kisha jenga hoja au uliza swali
 
Last edited by a moderator:

Yesu 'akitukanwa' FFU na Dola kwa ujumla huwakilisha hisia za Wakristo ndio maana hutaskia Mkiandamana kwa kuwa Risas za Moto zinatumika na Magereza yanajaza watu kwa niaba yenu, 1996 Yesu 'alitukanwa' (Uungu wake ulikanwa) Paroko Lwambano wa Parokia ya mburahati akaenda kulalamika Ikulu watu wakaja kuuawa,Msikiti ukaporwa wakapewa Bakwata (Wakala wa Mfumo), 2001 Hamis Dibagula akakana Uungu wa Yesu Dola ikamtia Kizuizini na kifungo kikafuata sasa kama Dola ina react hivi kuna haja gani ya kuandamana Wakristo? Waislam hawana Wakala wa kudai haki zao ndio maana wanatoka wenyewe kuonesha hisia zao japo wanajua watapigwa Risasi, Wame Opt kununua Uhuru wao wa kulalamika kwa kukubali kupigwa Risas za moto na kugeuzwa Gereza kuwa ndio makazi yao!
 

Ondoa hisia za kidini unapojadili mada hii ndugu,

Unaposema watu wa dini nyingingi wanapendelewa, hivi ukitaka kujiridhisha madai hayo, wapi utatafiti kama sio huku kwenye sekta za serikali?
 
Ndilo Yericko Nyerere alitakiwa alifanyie utafiti na siyo kutafuta majina ya kuwa Dini baadala ya mfumo Kristo kwa manna ya upendeleo.......
 

Inaonekana MoU lilikuwa jambo geni kwako hadi Padri Slaa alipokufafanulia. Kwanini Radio Maria walitoa ufafanuzi tofauti na Padri Slaa? Huenda unafikiri kila usiyemuona ni mchovu kitaaluma kama walio karibu yako. Pole na mfumo wenu Kristo.
 
Brother Huyu Jamaa,
Ndio maana ninasema ni mtu wa kuhurumiwa sana,
Ni bora kabisa kukosa mali kuliko kukosa akili na utambuz wa mambo,
Hapa sasa kila mwenye akili zake timamu ataona ni kwa jins gani huyu jamaa alivyo mtupu kichwani.

Nilisema wazi kuwa wewe hii mada ipo kifuani na huwezi kuitabipika hata kidogo,

Uliahidi kupuuza na kutoweka hapa lakini moyo unakusuta,

Punguza papara bwana mdogo, utaugua vidonda vya tumbo bure!
 
ZeMarcopolo,

Huu mtihani mgumu sana hakuna majibu zaidi porojo.

Mkuu,

Tatizo la Yericko anafanya mzaha na mambo yasiyohitaji mzaha.

Jana aliahidi akiamka leo atakuja tuongee numbers. Naona amechukua daftari lake akajumlisha, kutoa, kuzidisha na kugawanya akaona his numbers dont add up. Sasa ameamua kuingia mitini. Hataki kujadili numbers anajikita kwenye "kusutana".

Yericko siku hizi amekuwa na roho mbaya kama Mwanakijiji, sijui kwa nini!!!

Originally Yericko alikuwa ni "kijana" anayeonekana kuwa na malengo mema na nchi yake. Lakini lately ameingia kwenye kundi la watu kama Mwanakijiji. Lakini Yericko inabidi ajue kumuiga tembo,.....

Mwenzie Mwanakijiji hata ikitokea demage haimdhuru, yuko zake States. Yeye mkazi wa Kigamboni anaiga iga tu!
 
Ndilo Yericko Nyerere alitakiwa alifanyie utafiti na siyo kutafuta majina ya kuwa Dini baadala ya mfumo Kristo kwa manna ya upendeleo.......

Wamuulize aliyepiga 'ban' kitabu cha SIASA YA TANZANIA BARA NA KANISA KATORIKI.
 
Waislam siku zote mmekuwa mkidandia sana vitabu vyenye malengo mengine, just because mnadhani kuwa mnaweza pata,kitu ch akuwasaidi kwa muda mfupi..hii ndio mentality ya CUF pia....

Waislam waliwahi pia Ingia kichwakichwa ktk Darwin theory of Evolution na kujaribu thibitisha kuwa Quran ilishaandika mapema n aujinga mwingine....

Padri Kueleza nafasi ya kanisa ni theological point of view, kwa makanisa yoyote duniani kuwa na utaratibu wa kuangalia mabadiliko ya nchi, mahusiano ya kanisa na dola, mahusiano ya kanisa na dini nyingine..Na vile vile ili kanis akuweza survive lazima nao wapambane ili waweze liweka kanisa mahali salama.hina tofauti na struggle y amakundi mengine ili kuweza pata uwakilishi ktk sehemu nyeti za nchi.Km waislam wanasubiri kupew akw anjia zisizo halali wala kuw ana mipango mizuri.Haiwezei kuwa makosa ya wakristu.

Hata ktk familia mtoto anaweza chukua zaidi kiasi ambacho angeweza rithishwa kihalali km mgawo ungekuwa wa sehemu, kwakuiba na kwenda fuja, au akasubiri na kupewa kihalali kwa pamoja na kwenda tumia kwa busara ili kufanikisha huku akiwa na baraka za baba....

Waislamw amekuwa wakichukua tunu za nchi kwa njia rejareja sana, na hivyo hawajafaidika....

Unapojaribu zima ubongo kirahisi hivi unaondoa credibility yako kuchangia hii hoja..

Sasa ulitaka serikali ifanya nini:Km hospital za kanisa ni kubwa kuliko ya serikali sehemu hiyo na serikali inataka watu wote hata ombaomba na walalamikajiw a kiislam, na wanahitaji X-ray ulitaka serikali ifanye nini?Pengine hujatembea mikoani ukaona Hospital za kanisa halafu uone kipi serikali ingechagua..Hopsital km Bwagala, Hydom,Rombo Huruma, etc....Zinahudumia watu wengi sana, uwekezaji w akanisa ni mkubwa sana.....wagonjwa ni wengi sana, sasa serikali kuambia kuwa X_ray imeleta shida na kulipa mishahara ya madaktari amabo waliongezwa na serikali zaidi ya budget ya kanisa..ndio kosa?

Kwa taarifa yako hizo hospital zikishingia mkataba na serikali huduma hushuka sana, watu huwa wengi sana, hadi mifumo ya uchafu kushindwa stahimili ..hii inaonyesha serikali haiwezi na haijafika mbali kabisa..waislam hadi sasa ni kulalama hakuna hata hospital moja mmesimamisha ili nanyi mpate hizo hela mnazolilia.

Unachokosea ni kwamba, wakristu huwajibisha serikali kwanza ktk kujibu hoja.Sababu ambazo nataka uzishike kwa umakini na usirudi tena kwa hili kuelezea ujinga wako:

1.Sheria ya nchi inakataza kukashifu dini nyingine....right?Kwa mkristu au mhindu kumwambia Mungu wao si Mungu ni kufuru....kwani wao ndio wamemchagua kuwa Mungu wao wa Kumwabudu..km Nyie mlivyomchagua allah na muhamad km miungu wenu.Utashangaa kumjulisha muhamad..ila ukweli ndio huo.Quran inaongelea wingi kila mahali.."sisi, tu etc" n amahali pa kumtaja allah na muhamad hutajwa kwa pamoja(kumhehsimu allah na mtume wake)..huwezi bisha hii kufuru kwani wakristu nao wakisema Quran si kitabu sahihi..kesho mnachoma makanisa mkidai ni kufuru..right?Sasa tofauti ya wakristu na Waislam ni kwamba.wao hutumia sheria....njio mnajichukulia sheria mikononi...mkaosa ya jinai ni ya jamhuri na jamhuri ndio ina jukumu la kulipeleka mahakamani.....nadhani umepata picture.Same hata ukibaka au kuiba msikitini.

2.Madai mengine ya sijui MOU..huwezi wadai kanisa kwa kupokea ila utawadai Serikali kw akumpa yule na si wewe,ndipo watakupa sababu.Nalo halihusu kanisa..ndipo mtakapoona wapi mnapigana na dola bila jijua na mwishowe mkahitimisha kuwa serikali ni mfumo kristu.

3.Pia waislam hawataki zikubali sheria za nchi, kitu ambacho ni kosa ..huo ni uasi na shid akwa dola yoyote duniani hata ya Kiislam.

Kwa haraka hapa pia naona nimeandika vitu vingi sana:

1.Kuna vitu ktk taifa ambavyo kuvipata ni kwa taaluma na weledi bila jali dini, kabila wala nini..haya ni kwavile matokeo yake yanakuwa ya wote.Kiongozi mahiri ktk sector ya madini anayeweza ingizia serikali hela kiasi kikubwa sana ni faida kwa wote..Na hii ni secondary na inategemea misingi ilisemaji kuhusu hilo.

2.Kuna maeneo ya misingi ya nchi yanayojenga mahusiano ya hayo makundi na mgawanyo wa vitu....haya yanahitaji uwakilishi ulio sawa....n aunaokubalika kwa kila makundi kwani hapo ndipo kunajenga misingi ya mengine ambayo yatakuja leta shida km dini moja iliweka msingi kuwasupport wao.Mfano tuu wazenj wanataka pawe na kila kitu sawa ktk muungano.Ila hawataki pia pawe na uwakilishi sawa wa dini ktk mambo yao...Zenj ndio wana waislam wengi,ila wana wakristu wenye elimu na weledi mkubwa sana w akutosha tuu.....mfano akina Augustino Ramadhani....Bara waislam wanataka kila sekta iwe kwa usawa wa kidini kwanini sasa katiba hawataki?Hau na wewe hujaona?Ukitaka haki basi na wewe utoe haki.

3.Sehemu za weledi waislam wanapwaya kwa vile wana mamabo mengi ya ndnai yanayowafikisha hapo.Shule zao nyingi zina uongozi na vipaumbele vya hovyo, halfu bado wengi wanazikimbilia....wanafunzi kuaharibiwa kiakili kwa kulishwa maneno yanayowafanya wakishindwa wasiongeze bidii kwa vile wanaamini kuwa wamefelishwa....

Kuhusu kumkosoa JK nani hamkosoi..hata waislam wabaguzi, wenye kufaidi udini wa JK bado wanalalama kwa vile kuna wenye kauzalendo wanaumwa roho kuona tembo, hadi wa faru wa msaada waliokolewa nao wameuzwa...?JK kapwaya...Mwinyi nae si ndio aliuza loliondo...ambayo ndio msingi wa wanyama na tembeo kuuawawa leo..Enzi ya mwinyi si Ndio akina Gulamali walikuwa vinara wa kuuza unga kupitia vijana wetu .....vijana wa tanga wakaishia kuwa punda na mashoga....wangesoma leo Tanga ingekuwa wapi?

Kw akuhitimisha.Umejiwekea majigambo ila ume fall short off mambo mengi sana...na hivyo na wewe unaabisha great thinker hapa..Umejitajia terminologies tuu ila hazian muunganiko na utetezi wako.
 
Ndilo Yericko Nyerere alitakiwa alifanyie utafiti na siyo kutafuta majina ya kuwa Dini baadala ya mfumo Kristo kwa manna ya upendeleo.......
Naomba ujibu swali hili moja tu, ili twende sawa kwa hoja

Je upendeleo huo linapendelewa "kanisa" au waamini wa kanisa?
 

Nyerere alifikiri akija na minamba atatukamata watu wenye uwezo zaidi yake, tunaojua nje na ndani ya mchonga meno. Mfumo Kristo upo na unanyanyasa baadhi yetu kupitia BAKWATA.
 
Statistics is like 'call-girl' miniskirt.
 

Utaskia huyu nae Graduate! Ukitaja walipa Kodi waislam unamtaja Manji, hajui kama jiran zako akina Abdala na Fatuma Pia wanalipa Kodi hata kama nao si Wafanyabiashara, huji kuwa Kila Mkazi analipa Kodi au unadhani usippna mtu kwenye Foleni za TRA basi unaona halipi Kodi! Watu kama nyie ndio uthibitisho wa Mfumo Kristo mmebebwa kwa majina yenu wakati Vichwa vyenu ni Plain Paper thamani yake inategemea na Mchoraji atachora nn?
 

Huyo jamaa nae ni wa kuhurumiwa pia,
Mimi nashangaa sana watu kuanzisha debate wasizo na uwezo nazo.
Inashangaza sana
 
Vipi makampuni ya madini Barrick Gold

hayamo?

kumbe ni kutojua tuu ndio kunawasumbua....dhahamu hailipi kodi ya pombe.......na hii ni kwa sababu ya uongozi mbovu....husikilizi bunge nini?Watu wanavyoicheka serikali ya JK kutegemea Pombe na Sigara ....sijui wenzangu wa zenj waliokataa udhamini wa TBL huku wakipokea fedha ya serikali kuu ya pombe na kitimoto inayosindikizia ulabu....unafiq utawamaliza watu.
 
Huu ndiyo utafiti....
 

Unanichukulia kirahisi sana ndugu yangu,
 
Umeulizwa Barrick Gold halipi kodi? unaleta stori ndefu nani hajui kama TBL wanaongoza kuliopa kodi, wewe jamaa mjinga mnoooo.
 

haha..wauza mandazi na mirungi , waganga wa jadi?by the way nyumba nyingi zina migogoro ya wanadungu hakuna wa kulipa kodi....as along ni watoto wa wanaojiita waasisi wa CCM /TANU kutokea msikitini...wengi wanakula hadi kodi ya vyumba vilivyowekewa wakfu na wazee wao kwa ajili ye kupeleka misikitini....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…