Nimehuzunika sana kuona huu nao unaitwa Utafiti,Labda kwa kuwa Lugha yetu ni finyu kwenye Misamiati, Mtafiti huyu kashindwa kwanza kabisa Mwanzo wa Utafiti wake kwa kuanza kukejeli eti ' wanaoimba Wimbo huu wa Mfumo Kristo walishindwa kutoa majibu Mujarrab' Vitabu kadhaa vimeandikwa kikiwemo cha Pdri Sivalon akieleza Nafasi ya kanisa Tanganyika, Professor Hamza Njozi kaandika 'The Killing of Mwembe chai and Political future of Tanzania', Tape, Hotuba za Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam wameeleza kwa kirefu sana.
Waislam siku zote mmekuwa mkidandia sana vitabu vyenye malengo mengine, just because mnadhani kuwa mnaweza pata,kitu ch akuwasaidi kwa muda mfupi..hii ndio mentality ya CUF pia....
Waislam waliwahi pia Ingia kichwakichwa ktk Darwin theory of Evolution na kujaribu thibitisha kuwa Quran ilishaandika mapema n aujinga mwingine....
Padri Kueleza nafasi ya kanisa ni theological point of view, kwa makanisa yoyote duniani kuwa na utaratibu wa kuangalia mabadiliko ya nchi, mahusiano ya kanisa na dola, mahusiano ya kanisa na dini nyingine..Na vile vile ili kanis akuweza survive lazima nao wapambane ili waweze liweka kanisa mahali salama.hina tofauti na struggle y amakundi mengine ili kuweza pata uwakilishi ktk sehemu nyeti za nchi.Km waislam wanasubiri kupew akw anjia zisizo halali wala kuw ana mipango mizuri.Haiwezei kuwa makosa ya wakristu.
Hata ktk familia mtoto anaweza chukua zaidi kiasi ambacho angeweza rithishwa kihalali km mgawo ungekuwa wa sehemu, kwakuiba na kwenda fuja, au akasubiri na kupewa kihalali kwa pamoja na kwenda tumia kwa busara ili kufanikisha huku akiwa na baraka za baba....
Waislamw amekuwa wakichukua tunu za nchi kwa njia rejareja sana, na hivyo hawajafaidika....
Hata kama huamini ulipaswa kupitia na kuweka hoja zao ili Upate 'Lacuna' Gap ambalo litakufanya Uanze Reserach, Sasa umekwepa Hoja zao halafu umekimbilia kuweka majibu yasiyo na Maswali, Hospital za Mkoa za Serikali Hazina X-ray halafu unasifia Serikal kupeleka Pesa kanisani kununua X ray tena hizo fedha hazina ukaguzi wa serikal kujiridhisha na Matumizi yake.
Unapojaribu zima ubongo kirahisi hivi unaondoa credibility yako kuchangia hii hoja..
Sasa ulitaka serikali ifanya nini:Km hospital za kanisa ni kubwa kuliko ya serikali sehemu hiyo na serikali inataka watu wote hata ombaomba na walalamikajiw a kiislam, na wanahitaji X-ray ulitaka serikali ifanye nini?Pengine hujatembea mikoani ukaona Hospital za kanisa halafu uone kipi serikali ingechagua..Hopsital km Bwagala, Hydom,Rombo Huruma, etc....Zinahudumia watu wengi sana, uwekezaji w akanisa ni mkubwa sana.....wagonjwa ni wengi sana, sasa serikali kuambia kuwa X_ray imeleta shida na kulipa mishahara ya madaktari amabo waliongezwa na serikali zaidi ya budget ya kanisa..ndio kosa?
Kwa taarifa yako hizo hospital zikishingia mkataba na serikali huduma hushuka sana, watu huwa wengi sana, hadi mifumo ya uchafu kushindwa stahimili ..hii inaonyesha serikali haiwezi na haijafika mbali kabisa..waislam hadi sasa ni kulalama hakuna hata hospital moja mmesimamisha ili nanyi mpate hizo hela mnazolilia.
Mara zote Serikal imekuwa Mlalamikaji kwenye madai yanayoitwa Kashfa dhidi ya Dini Kikristo wakati kesi ya Madai haihusu Serikali na wapo Waislam walikwishapigwa Risasi,kufa kufungwa kwa kukana Mungu wa Kikristo lakin hakuna hata kesi moja ya Wakrsito wakipinga Uungu wa Allah au miungu ya Asili.
Unachokosea ni kwamba, wakristu huwajibisha serikali kwanza ktk kujibu hoja.Sababu ambazo nataka uzishike kwa umakini na usirudi tena kwa hili kuelezea ujinga wako:
1.Sheria ya nchi inakataza kukashifu dini nyingine....right?Kwa mkristu au mhindu kumwambia Mungu wao si Mungu ni kufuru....kwani wao ndio wamemchagua kuwa Mungu wao wa Kumwabudu..km Nyie mlivyomchagua allah na muhamad km miungu wenu.Utashangaa kumjulisha muhamad..ila ukweli ndio huo.Quran inaongelea wingi kila mahali.."sisi, tu etc" n amahali pa kumtaja allah na muhamad hutajwa kwa pamoja(kumhehsimu allah na mtume wake)..huwezi bisha hii kufuru kwani wakristu nao wakisema Quran si kitabu sahihi..kesho mnachoma makanisa mkidai ni kufuru..right?Sasa tofauti ya wakristu na Waislam ni kwamba.wao hutumia sheria....njio mnajichukulia sheria mikononi...mkaosa ya jinai ni ya jamhuri na jamhuri ndio ina jukumu la kulipeleka mahakamani.....nadhani umepata picture.Same hata ukibaka au kuiba msikitini.
2.Madai mengine ya sijui MOU..huwezi wadai kanisa kwa kupokea ila utawadai Serikali kw akumpa yule na si wewe,ndipo watakupa sababu.Nalo halihusu kanisa..ndipo mtakapoona wapi mnapigana na dola bila jijua na mwishowe mkahitimisha kuwa serikali ni mfumo kristu.
3.Pia waislam hawataki zikubali sheria za nchi, kitu ambacho ni kosa ..huo ni uasi na shid akwa dola yoyote duniani hata ya Kiislam.
Tangu kuanzishwa NECTA haina tofauti na Parokia halafu Waislam hawaruhusiw kuhoji ila ni Halali wakristo kuhoji wingi wa Waislam kwenye Tume ya Katiba, serikal zote Tangu Uhuru zimekuwa zikifanya madudu japo kwa kiwango Tofauti ila 'Mtafiti' Mwenyewe ni Shahidi Kanisa hupaza Sauti kutikisa na kukashifu na kukosoa Serikal pale tu Rais anapokuwa si Mkatoliki, kama anabisha atueleze Kauli za Kanisa kumkosoa Nyerere au Mkapa japo kuna Madudu mengi tu katika Tawala zao, unapozungumzwa Mfumo ni Mpaka Fikra kiasi kwamba leo Ofisi ikiwa na Idad walau 40% ya Waislam huitwa Udini kwa kuwa si mazoea, NSSF kila siku inaitwa kuna Udini lakin tukiomba data za Idad ya waislam na Wakristo huingia mitini kama ile 64% ya wakrsto wakat wa sensa.
Kwa haraka hapa pia naona nimeandika vitu vingi sana:
1.Kuna vitu ktk taifa ambavyo kuvipata ni kwa taaluma na weledi bila jali dini, kabila wala nini..haya ni kwavile matokeo yake yanakuwa ya wote.Kiongozi mahiri ktk sector ya madini anayeweza ingizia serikali hela kiasi kikubwa sana ni faida kwa wote..Na hii ni secondary na inategemea misingi ilisemaji kuhusu hilo.
2.Kuna maeneo ya misingi ya nchi yanayojenga mahusiano ya hayo makundi na mgawanyo wa vitu....haya yanahitaji uwakilishi ulio sawa....n aunaokubalika kwa kila makundi kwani hapo ndipo kunajenga misingi ya mengine ambayo yatakuja leta shida km dini moja iliweka msingi kuwasupport wao.Mfano tuu wazenj wanataka pawe na kila kitu sawa ktk muungano.Ila hawataki pia pawe na uwakilishi sawa wa dini ktk mambo yao...Zenj ndio wana waislam wengi,ila wana wakristu wenye elimu na weledi mkubwa sana w akutosha tuu.....mfano akina Augustino Ramadhani....Bara waislam wanataka kila sekta iwe kwa usawa wa kidini kwanini sasa katiba hawataki?Hau na wewe hujaona?Ukitaka haki basi na wewe utoe haki.
3.Sehemu za weledi waislam wanapwaya kwa vile wana mamabo mengi ya ndnai yanayowafikisha hapo.Shule zao nyingi zina uongozi na vipaumbele vya hovyo, halfu bado wengi wanazikimbilia....wanafunzi kuaharibiwa kiakili kwa kulishwa maneno yanayowafanya wakishindwa wasiongeze bidii kwa vile wanaamini kuwa wamefelishwa....
Kuhusu kumkosoa JK nani hamkosoi..hata waislam wabaguzi, wenye kufaidi udini wa JK bado wanalalama kwa vile kuna wenye kauzalendo wanaumwa roho kuona tembo, hadi wa faru wa msaada waliokolewa nao wameuzwa...?JK kapwaya...Mwinyi nae si ndio aliuza loliondo...ambayo ndio msingi wa wanyama na tembeo kuuawawa leo..Enzi ya mwinyi si Ndio akina Gulamali walikuwa vinara wa kuuza unga kupitia vijana wetu .....vijana wa tanga wakaishia kuwa punda na mashoga....wangesoma leo Tanga ingekuwa wapi?
Nachokushauri Soma Vizuri Resercha Methodology and Technique and Tactics za Reserch ili uweze kufahamu Maana ya Reserch maana vitu kama hivi kuonekana Jukwaa la Brilliant eti ni Utafiti wa Greatthinkers unatudhalilisha hata kama ulihoji watu kweli kwa kiwango hicho japo ni Ngumu kumeza!
Kw akuhitimisha.Umejiwekea majigambo ila ume fall short off mambo mengi sana...na hivyo na wewe unaabisha great thinker hapa..Umejitajia terminologies tuu ila hazian muunganiko na utetezi wako.