barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Dogo unashindwa kuelewa kupotea namaanisha peak ,sugu ,prof jay etc wanafanya mziki lakini peak zao zishapita,domondi peak alishafikia kwasasa anashuka kama ukichora trend ya graph kuangalia KPI yake utagundua anaelekea kibra.Kupotea ni nani kasema mondi atakaa forever? Nachosema kama ni ishu ya tech imekuja nature akiwa anafanya mziki bado.
Hata umaarufu wao hatupaswí kuulinganisha sababu ya nyakati ila kama kiubishi tukisema tuwalinganishe, mondi ni maarufu zaidi, sio tz tu bali afrika na hata duniani.
Eti mtu aliekuwa anafahamika kuishia mombasa unamlinganisha na mtu anaefahamika kwenye nchi mbalimbali. Diamond kashiriki matamasha ya kimataifa ( kama sikosei ni AFCON moja hivi alitumbuiza), sasa hao wengine wakitoka nje ilikuwa ni hapo mombasa au kampala, unaanzaje kuwalinganisha hao watu.umaarufu wa sifa ambao unakomea tz VS umaarufu wa tija ambao ni around the world then anakuja mlevi1 na kijiutafiti uchwara chake kutuaminisha ujinga
PAMBAFU KBS
Ongezea hili, kipindi cha Nature ilikuwa natural hapakuhitajika viewers wala followers,Diamond anatumia nguvu nyingi sana kujitangaza, wakati Kina Juma walitangazwa na mziki na kupendwa bila kuhonga maredion
Kwangu hakuna zaidi ya Remmy Ongara
Upo naye kurasini mji mpya?NYIE NDO WALE MLIKUWA MNADANGANYA WATU KUWA NATURE ALIKUWA MWANAMUZIKI TAJIRI WA ENZI HIZO.NIKO NAE JIRANI HAPA NA HUO UTAJIRI NIMEJARIB KUULIZIA HAKUWA NAO HATA ZAMANI ZAIDI YA SIFA TU.
Yan upo wewe na jamaa mwingine anajiita wa stendi, avatar zenu na comments zenu yan huw zina- reflect majina yenu kwa kiasi kikubwa sana!Dah....kihisabati..huwezi kulinganisha vitu viwili bila kudatabisha uwiano wake kiteknolojia. Enzi za Juma Nature simu za mkononi zilikuwa na ukubwa wa memori 512KB...Sasa hivi simu zina hadi 128GB.....bila kufanya hivyo tafiti zinaweza thibitisha Ambaruti ni maarufu kuliko Nyerere[emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Utabisha sana kwa maandishi yako hayo inaonekana wewe ni mmoja wa wale ambao mpo kwenye payroll ya domondi kwa kununuliwa tekno na kuwekewa bando.Davido amsahau Diamond wakati mwezi uliopita Rayvanny kafanya nyimbo na Maykorkun msanii aliyekuwa chini ya Label ya Davido DMW,nyimbo inaitwa give me that.
Naona unachora graph we endelea TU,ila dogo kila mwaka anaongeza idadi za nchi anazopiga show,miaka miwili aliwekeza nguvu nchi za kusini mwa Africa na akafaniwa ,kabakiza Angola tu hajapiga show.
Sasa hivi yupo katika anglophone countries (Cameron,Senegal,Burkina Faso,Gunea kote huko ana show mwishoni mwa mwaka huu).Mpaka mwaka unaisha ukitoa nchi za kiarabu atakuwa kishapiga show karibia 90% ya nchi zote Africa.
Kushuka atashuka lkn sio sasa,WE ENDELEA KUCHORA GRAPH lako.
Nilishasema tangia post yangu ya mwanzo,mashabiki maandazi lazima watakwambia ni wivu tu au chuki hahahaaa.Nionacho hapa ni una chuki tu..
Ok.
Nibishe nini wakati vitu vunaonekana,ukienda Youtube video ya Rayvanny ft Mayorkun ipo,ukiangalia ratiba ya show ya Diamond hizo nchi zipo.Utabisha sana kwa maandishi yako hayo inaonekana wewe ni mmoja wa wale ambao mpo kwenye payroll ya domondi kwa kununuliwa tekno na kuwekewa bando.
Sawa mkuu mda utaongea,kwetu msanii mkubwa ni yule anayetrend kwa kiki na wala si kwa kazi zake,nchi za wenzetu wana taasisi kabisa zinazomonitor performance ya msanii sokoni kwa USA wana RIAA ambayo inamrate msanii,ndio maana utasikia msanii ameuza double platnum hao ndio wanaleta mrejesho lakini kwa huku kwetu Mashabiki ndio wanaoleta data za msanii kama kauza kihasi gani anarun vipi sokoni etcNibishe nini wakati vitu vunaonekana,ukienda Youtube video ya Rayvanny ft Mayorkun ipo,ukiangalia ratiba ya show ya Diamond hizo nchi zipo.
We cha msingi chukua penseli na karatasi ENDELEA KUCHORA GRAPH.
Bwana Savimbi au utakuwa Qchief mzee wa kulialia ili aonewe huruma.
Hebu nitajie mfumo rasmi unao simamia mziki Tanzania? au chombo rasmi kinachosimamia mziki Tanzania ambacho kinaweza kukupa data kuhusiana na maswala ya mziki wa Tanzania?Sawa mkuu mda utaongea,kwetu msanii mkubwa ni yule anayetrend kwa kiki na wala si kwa kazi zake,nchi za wenzetu wana taasisi kabisa zinazomonitor performance ya msanii sokoni kwa USA wana RIAA ambayo inamrate msanii,ndio maana utasikia msanii ameuza double platnum hao ndio wanaleta mrejesho lakini kwa huku kwetu Mashabiki ndio wanaoleta data za msanii kama kauza kihasi gani anarun vipi sokoni etc
Naona unampa facts sema jamaa anaongozwa na chuki kuliko kuleta factsHebu nitajie mfumo rasmi unao simamia mziki Tanzania? au chombo rasmi kinachosimamia mziki Tanzania ambacho kinaweza kukupa data kuhusiana na maswala ya mziki wa Tanzania?
Kenya wenzetu wana mifumo rasmi ya kusimamia mziki wao ,wana chombo cha kusimamia malipo ya msanii kulipwa endapo nyimbo ikipigwa redioni MSCK.
2015 kupitia report za MSCK Mondi aliingiza Ksh 350,000 za kenya (Tsh 7000000 million) ndani ya miezi mitatu na mwaka uliofuatia Kenya waka implement 60% (Local content) 40%(Foreign content) na pamoja na hiyo ratio bado Mondi anakimbiza.Sasa hiyo 2015 je sasa hivi 2019 itakuwaje?
Karibia digital platforms zote zinazouza mziki Kenya Zipo .Wana mpaka kampuni za kufanya research ktk entertainment industry mwaka jana kuna kampuni ya 8020 ilifanya Research based on 2018 Kenya msanii anayeongoza kwa mauzo kwenye digital platform,streaming,airtime kwenye redio,viewers za Youtube ni Diamond (Najua humpendi).
Diamond Platnumz Named Most Popular Tanzanian Artist In Kenya - KenyanVibe
Diamond Platnumz is the most popular Tanzanian artist in Kenya according to a new research ...www.kenyanvibe.com
Na wakatoa picha jinsi jamaa anavyo dominate,sasa hapo ni mwaka jana alikaa mwaka mzima hajatoa nyimbo na akaburuza,je mwaka huu ana utitiri wa nyimbo.
Bongo tulikuwa na chombo kama
MSCK kilikuwa kinasimamiwa na P Funky Majani watu wamekipiga majungu kimekufa.