Utafiti wangu binafsi: 75% ya wanawake hupenda wanaume wenye usela na utukutu kuliko wale wastaarabu

Utafiti wangu binafsi: 75% ya wanawake hupenda wanaume wenye usela na utukutu kuliko wale wastaarabu

Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha Mahusiano tena na Wanaume Wastaarabu kama waliokuwa nao?

Huu Utafiti wangu nimeufanya kwa miezi Mitatu na kuwahusisha Watu wa Tanzania, Kenya na Uganda na ni wa Kweli.
Mwandamo tayari
 
"MBWA yuko ndani ya Maji"
Andika hii sentensi kwa kuanza na neno "Maji".

Kama ambavyo hio sentensi utayoandika HAITAELEWEKA, Vivo hivyo na wanawake nao hawaeleweki.

BUT unalosema ni sahihi kwa kiasi kikubwa. Ila sio 100%.

USHAURI: Kama kijana unaingia kwenye kiwanda cha Mapenzi, basi ukiwa na mentality za watu kama aliowataja ndugu GENTAMYCINE utafurahia zaidi mahusiano kuliko ukiwa tofauti na hivyo.
Majini kaingia mnyama anayeitwa mbwa
 
Back
Top Bottom