Utafiti wangu binafsi: 75% ya wanawake hupenda wanaume wenye usela na utukutu kuliko wale wastaarabu

ni nadra sana kukuta wameanzisha Mahusiano tena na Wanaume Wastaarabu kama waliokuwa nao?
Mimi Mr Zero Minus nitakupa ushahidi ufuatao, Miaka km 17 iliyopita nilipata kua kwenye mahusiano na Dada mmoja mzuri sana ametoka familia bora sana Jina lipo juu huko govamental ni mchanganyiko wa Kilimanjaro na Singida basi by that Mr Zero Minus nilikua ni mtu Gambe sana yaan nilikua nikipiga sana tungi

Aseee usichoamini yule Manzi alipenda tu lifestyle yangu ya mitungi yaan kupiga Gambe alikua anapenda tu nikiwa nimeelewa nnavyomfurahisha na hakuwa kuniambia (mpaka siku nilipomwambia nimeacha tungi) na long hair don't care yaan I don't give a damn hivyo tu ndio alipenda basi tukala sana starehe za hapo na pale

Miaka miwili akaenda kusoma nikapoteza Mawasiliano nae Simu ilipotea sikurenew line tukapoteana hapo si unajua mitungi nikapata line mpya sasa Manzi kipindi chote kumbe alikua amekuja Dar ananisaka maana lengo la kutoka Mkoa Y kuja kusoma Dar Chuo X ili awe karibu na Mimi Mzee wa mitungi, basi ikapita km Mwaka na Miezi 6 siku hio nimetulia inaingia SMS Namba mpya kumbe Manzi alinisaka mpaka location ninapoishi akadadisi akapata Namba yangu mpya

Itaendelea....
 
Chai.
 
Kwahio sisi wastarabu tupate mademu aina gan?
Halafu suala la Demu kugongwa nje nikawaida tuu..
Wivu ni upuuzi tu Kama upuuzi mwingne.
Mi ata mke wangu ukimgonga fresh tuu.. we mgonge sikapenda mwenyew, halafu ile ni Mali yake anaruhusa ya kumpa yeyote anayemtunuku bas.
Kikubwa asiwe na dharau tuu Baaaaasiii.
Acha mke nae apate Radha nyingne
 
Ni kweli mkuu ,ila kinyonge sana umeandika🤣🤣🤣🤣
 
Uwe na Mume Msela flan hivi na awe na pesa dunia yote unaona yako, kuna karaha flani.

Msela na hujui kutafuta pesa unakua huna tofauti na kibaka!!
Wanawake wanapenda Wanaume Wahuni wenye vibunda ungeandika hivyo yaan Muhuni hawazi mara 3, lifestyle hio nilishaiacha Muda mrefu sana na nilipoiacha tu makoloni yangu yote kuanzia Kigoma mpaka Ruvuma yakaanza kuomba Uhuru
 
Wanawake wanapenda Wanaume Wahuni wenye vibunda ungeandika hivyo yaan Muhuni hawazi mara 3, lifestyle hio nilishaiacha Muda mrefu sana na nilipoiacha tu makoloni yakaanza kuomba Uhuru
Sasa ambacho hujanielewa ni nini lakini😀 mimi nimesema Mume awe msela na awe na pesa alooh ndoa inakua tamu.

Iache ila kwa Mkeo usije iacha ukija kuoa labda awe msabato.

Utakuta Mume mpole mpaka kwenye tendo anataka msali kwanza😂😂😂😂 wa nini
 
Mimi nilikua balaa aisee wale nimekua nao washazaa na kuolewa but still memories zimebakia kuna mmoja alinipigia akasema mwanae kampa Jina langu yaan anataka mwanae awe km Mimi asee
 
Back
Top Bottom