Utafiti wangu binafsi: 75% ya wanawake hupenda wanaume wenye usela na utukutu kuliko wale wastaarabu

Utafiti wangu binafsi: 75% ya wanawake hupenda wanaume wenye usela na utukutu kuliko wale wastaarabu

Sasa ambacho hujanielewa ni nini lakini😀 mimi nimesema Mume awe msela na awe na pesa alooh ndoa inakua tamu.

Iache ila kwa Mkeo usije iacha ukija kuoa labda awe msabato.

Utakuta Mume mpole mpaka kwenye tendo anataka msali kwanza😂😂😂😂 wa nini
si mnabariki tendo ili mtoto akipatikana awe na akili timamu
 
Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha Mahusiano tena na Wanaume Wastaarabu kama waliokuwa nao?

Huu Utafiti wangu nimeufanya kwa miezi Mitatu na kuwahusisha Watu wa Tanzania, Kenya na Uganda na ni wa Kweli.
Mkuu kabla sijaleta ubishani.
Ningependa uendelee na utafiti zaidi juu ya usela na utukutu
Pia ustaarabu.

I refuse to take things literally

Hivi mkuu tangu lini wanawake wamekuwa viumbe complicated kiasi cha kuwa wanavutiwa na usela na uchakaramu?
No bro!
No way!
Come on bro!

Hakuna anaevutiwa na stupid bad boy.

Badala yake
Mwanamke anavutiwa na strong masculine man haijalishi wewe ni less talkative au una big mouth ,
Haijalishi uwe chakaramu au mstaarabu . Kama unamfanya ajisikie kupendwa utakuwa ume win respect yake.

Ungefanya utafiti juu ya kwann wanawake wanawapenda / wanaolewa na weak feminine men ila wanavutiwa zaidi na strong masculine men na ndio ambao wana wa respect kiasi cha kuwapa sex for free.

Nb. Mwanaume anaetembea na wake za watu huyo sio strong man
 
Kwahio sisi wastarabu tupate mademu aina gan?
Halafu suala la Demu kugongwa nje nikawaida tuu..
Wivu ni upuuzi tu Kama upuuzi mwingne.
Mi ata mke wangu ukimgonga fresh tuu.. we mgonge sikapenda mwenyew, halafu ile ni Mali yake anaruhusa ya kumpa yeyote anayemtunuku bas.
Kikubwa asiwe na dharau tuu Baaaaasiii.
Acha mke nae apate Radha nyingne
Mkuu mbona kama vile umeandika hii Post yako ukiwa na Usununu / Makasiriko? Naona Kugongewa Mkeo Kumekuuma.
 
Mkuu kabla sijaleta ubishani.
Ningependa uendelee na utafiti zaidi juu ya usela na utukutu
Pia ustaarabu.

I refuse to take things literally

Hivi mkuu tangu lini wanawake wamekuwa viumbe complicated kiasi cha kuwa wanavutiwa na usela na uchakaramu?
No bro!
No way!
Come on bro!

Hakuna anaevutiwa na stupid bad boy.

Badala yake
Mwanamke anavutiwa na strong masculine man haijalishi wewe ni less talkative au una big mouth ,
Haijalishi uwe chakaramu au mstaarabu . Kama unamfanya ajisikie kupendwa utakuwa ume win respect yake.

Ungefanya utafiti juu ya kwann wanawake wanawapenda / wanaolewa na weak feminine men ila wanavutiwa zaidi na strong masculine men na ndio ambao wana wa respect kiasi cha kuwapa sex for free.

Nb. Mwanaume anaetembea na wake za watu huyo sio strong man
Third Tomaso.
 
Mimi Mr Zero Minus nitakupa ushahidi ufuatao, Miaka km 17 iliyopita nilipata kua kwenye mahusiano na Dada mmoja mzuri sana ametoka familia bora sana Jina lipo juu huko govamental ni mchanganyiko wa Kilimanjaro na Singida basi by that Mr Zero Minus nilikua ni mtu Gambe sana yaan nilikua nikipiga sana tungi

Aseee usichoamini yule Manzi alipenda tu lifestyle yangu ya mitungi yaan kupiga Gambe alikua anapenda tu nikiwa nimeelewa nnavyomfurahisha na hakuwa kuniambia (mpaka siku nilipomwambia nimeacha tungi) na long hair don't care yaan I don't give a damn hivyo tu ndio alipenda basi tukala sana starehe za hapo na pale

Miaka miwili akaenda kusoma nikapoteza Mawasiliano nae Simu ilipotea sikurenew line tukapoteana hapo si unajua mitungi nikapata line mpya sasa Manzi kipindi chote kumbe alikua amekuja Dar ananisaka maana lengo la kutoka Mkoa Y kuja kusoma Dar Chuo X ili awe karibu na Mimi Mzee wa mitungi, basi ikapita km Mwaka na Miezi 6 siku hio nimetulia inaingia SMS Namba mpya kumbe Manzi alinisaka mpaka location ninapoishi akadadisi akapata Namba yangu mpya

Itaendelea....
Stori inaisha akakutoa kafara
 
Back
Top Bottom