Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Yani ni aidha wa pili au wa Tau au wa nne.namba hizo tajwa
Hata ikiangukia mwishoni.
Yani ikiwa umezaa watoto watano basi ni yule wa tatu au wa nne.
Ikiwa umezaa wanne basi ni yule wa tatu.
Ikiwa umezaa watatu basi ni yule wa pili Hata ukizaa kumi lazima wawepo wawili au watatu wale wa katikati.
Hawa ni aidha wanakuwa na tabia mojawapo ya zifuatazo
-wachangamfu sana,nyumba ikiboreka wakiwepo hapaboi
-wamejaa matukio na visa,sio nyumbani,mtaani sio shule.
Mzazi utapata hekaheka kwenye makuzi yake
-wemgi Wana vipaji,utakuta ni dancer,muimbaji nzuri nk
-micharuko hutokea kwenye hili kundi pia
-kwa asilimia kubwa ndio huwa mkombozi wa familia ukiambatanisha na firstborn japo baadhi hushindwa,wengine hupotea
Je unaona kama nnavyoona mie?