Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
- Thread starter
- #21
My childhood friend babake alikua mkali anapiga kwelikweli,na yeye ndio anaepigwa ila matukio hayaishi
Siku baba mtu kapigiwa simu shule ya kwanza mwanao kafanya matukio kafukuzwa njoo umchukue,ni boarding,kampeleka shule ya pili Tena muda si muda anapigiwa simu mwanao kamtwanga mwalimu darasani.halafu ni wakike

Tabia zao kwa kiasi fulani ni matokeo ya wazazi kuchoka kufanya parenting japo siyo kwa wote.