Utafiti wangu: Watoto wa kati kati katika uzao wamejaa matukio sana

Utafiti wangu: Watoto wa kati kati katika uzao wamejaa matukio sana

Yani ni aidha wa pili au wa Tau au wa nne.namba hizo tajwa
Hata ikiangukia mwishoni.

Yani ikiwa umezaa watoto watano basi ni yule wa tatu au wa nne.
Ikiwa umezaa wanne basi ni yule wa tatu.

Ikiwa umezaa watatu basi ni yule wa pili Hata ukizaa kumi lazima wawepo wawili au watatu wale wa katikati.

Hawa ni aidha wanakuwa na tabia mojawapo ya zifuatazo
-wachangamfu sana,nyumba ikiboreka wakiwepo hapaboi
-wamejaa matukio na visa,sio nyumbani,mtaani sio shule.

Mzazi utapata hekaheka kwenye makuzi yake
-wemgi Wana vipaji,utakuta ni dancer,muimbaji nzuri nk
-micharuko hutokea kwenye hili kundi pia
-kwa asilimia kubwa ndio huwa mkombozi wa familia ukiambatanisha na firstborn japo baadhi hushindwa,wengine hupotea

Je unaona kama nnavyoona mie?
Nina kesi kuna mtu kapiga mwenzake..huyu wa pili..ni yuko na vibe na haogopi mambo😀😀😀
 
Sina hakika na bandiko lako mleta mada, lakini navyojua “mara nyingi “ watoto wa katikati huwa neglected katika malezi.

Wazazi ni binadamu, hawawezi kumpenda&kumtreat kila mtoto katika uwiano ule ule.

Watoto wa katikati ni kama rebels fulani kitabia.
 
Uko sahihi asee si kwetu wa5 ila mi ndo wa katikati yaani wa3 sifa zote ulizotaja ninazo kasoro ya uchangamfu nyumbani mi ni introvert ila nikiwa mtaani na marafiki tuloshibana nachangamsha kijiwe mpaka wasiponiona wanakuja kuniulizia home,
Hapo ndo bi mkubwa huwa anachoka yaani huyu na ukimya wake anatengenezaje marafiki Kijiji.
Pia point ya kuwa mkombozi nyumbani nimelamba 0 nahisi mi ndo tegemezi la kutupwa pamoja nna kazi
Hapo mwishoni mkuu😄
Usiseme hivyo
 
I'll be in touch....
Am holla at you later hommie, Your a the queen,you know how shit rolling
Appreciations bro😎
ACA79088-F7D2-42C0-AD95-2E285B15C322.jpeg
 
Sina hakika na bandiko lako mleta mada, lakini navyojua “mara nyingi “ watoto wa katikati huwa neglected katika malezi.

Wazazi ni binadamu, hawawezi kumpenda&kumtreat kila mtoto katika uwiano ule ule.

Watoto wa katikati ni kama rebels fulani kitabia.
Huu ndio uhalisia kutoka familia nyingi!
 
Me wa 8 kwenye watoto 10...
Kwenye maisha yangu nimeshafanya vitu vya hovyo Hakuna mfano iwe kwa kusudi au bahati mbaya,lakini ndio kipenzi Cha familia na hili nililijua kwenye magumu niliyopita huko nyuma hawajahi niacha peke yangu....

Pengine Ndio sababu nipo hai mpaka leo na bado Ni msabazaji wa bangi mkubwa nyanda za juu kusini💪
FAMILY🙌
Ripoti kituo chochote cha Polisi kilicho karibu na wewe Kwa hiyari, kabla haijatumika nguvu.

Huwezi kusema hadharani unasambaza bidhaa haramu halafu vyombo vya usalama vikuchekee
 
Sina hakika na bandiko lako mleta mada, lakini navyojua “mara nyingi “ watoto wa katikati huwa neglected katika malezi.

Wazazi ni binadamu, hawawezi kumpenda&kumtreat kila mtoto katika uwiano ule ule.

Watoto wa katikati ni kama rebels fulani kitabia.
Ndio huwa hivyo
Unadhani shida ni malezi tu?
 
Kuna kitu umekiona na kukishuhudia hao kwenye familia tunawaita Wanyamwezi wanabebeshwa mizigo mizito wanaibeba na inafika maana yake hao ndio yale mawe yaliyokataliwa na waashi ila ndio yanashika nguzo za nyumba isibomoke
Miss u kichaa wangu😊
 
Back
Top Bottom