Wanakuja
Hilo lipo na kumewahi kuwapo na nadharia nyingi (oral narratives) kwamba watoto wa katikati huwa tangu kuzaliwa kwao ni kwa mapambano. e.g.Yani ni aidha wa pili au wa Tau au wa nne.namba hizo tajwa
Hata ikiangukia mwishoni.
Yani ikiwa umezaa watoto watano basi ni yule wa tatu au wa nne.
Ikiwa umezaa wanne basi ni yule wa tatu.
Ikiwa umezaa watatu basi ni yule wa pili Hata ukizaa kumi lazima wawepo wawili au watatu wale wa katikati.
Hawa ni aidha wanakuwa na tabia mojawapo ya zifuatazo
-wachangamfu sana,nyumba ikiboreka wakiwepo hapaboi
-wamejaa matukio na visa,sio nyumbani,mtaani sio shule.
Mzazi utapata hekaheka kwenye makuzi yake
-wemgi Wana vipaji,utakuta ni dancer,muimbaji nzuri nk
-micharuko hutokea kwenye hili kundi pia
-kwa asilimia kubwa ndio huwa mkombozi wa familia ukiambatanisha na firstborn japo baadhi hushindwa,wengine hupotea
Je unaona kama nnavyoona mie?
Kama Kuna ukweliHilo lipo na kumewahi kuwapo na nadharia nyingi (oral narratives) kwamba watoto wa katikati huwa tangu kuzaliwa kwao ni kwa mapambano. e.g.
1. Mtoto wa pili anapambana na mtoto wa kwanza (First born) ili aweze kupata haki yake ya kunyonya maziwa ya mama yake. Kumbuka inavyokuwa changamoto kumwachisha mtoto ziwa. Kwa mantiki hiyo mtoto wa pili anajitahidi kumfurusha First born kutoka kifuani mwa mama. Mama anakuwa kwenye dilema ya kuonesha upendo sawa kwa wote wawili anaegemea upande wa Kipya kinyemi. Lakini wakati huo-huo First born naye anataka atambulike uwepo wake. Unaweza kuliona hilo pale First born anapomng'ata Second Born.
2. Katika uzao wa mama huyo, uzazi wa kwanza i.e. First born mama huyo alikuwa na muhemko sana kuuona uzazi wake na pengine kuonesha jamii kwamba yy ni mama. Wamama wengine hufikia hatua na kutaka waitwe kwa jina la mtoto e.g. mama Y. ilhali jina lake halisi la huyo mama ni Letiaeli.
3. Mtoto wa kwanza huwa anapata upendo mkubwa sana mara tu baada ya kuzaliwa na katika malezi siku za mwanzo-lakini anapokuja mtoto wa pili pupendo huo hupungua na huhamia kwa yule wa pili. Mtoto wa pili hureact kwa kulia, kujizaragaza na kukasirika sana na wakati mwingine kung'ata ziwa la mama yake kama vile kutoa adhabu. Hawa wanakuwaga washari sana.
4. Watoto wa mwisho (Vitinda mimba) hupata upendo uliobaki kwa mama mzazi kwani wamama wengi wanajijua wakifika mwisho wa uwezo wa kuzaa. Kwa mantiki hiyo watoto vitinda mimba wanakombeleza ile albaki yote ya upendo kutoka kwa mama. Hawa kwa kupata aina maalum ya upendo huwa wanadeka sana, wanapenda kupetiwa-petiwa. Ni wenye viburi na wanajiona ni special zaidi.
Hebu na ww jaribu kufuatilia.Kama Kuna ukweli