Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Na miujiza ilivyo wengi waliozaliwa u kwanza wakiwa na moyo Safi wanatoboa mapema iwe kwa halali au kujiongezaHakuna kitu kigumu kama kuwa mzaliwa wa kwanza halafu uwe apeche alolo ..aloooh kazi unayo
Na unaonekana una hogo tamu haswa.Me wa 8 kwenye watoto 10...
Kwenye maisha yangu nimeshafanya vitu vya hovyo Hakuna mfano iwe kwa kusudi au bahati mbaya,lakini ndio kipenzi Cha familia na hili nililijua kwenye magumu niliyopita huko nyuma hawajahi niacha peke yangu....
Pengine Ndio sababu nipo hai mpaka leo na bado Ni msabazaji wa bangi mkubwa nyanda za juu kusini💪
Big up sana!Me wa 8 kwenye watoto 10...
Kwenye maisha yangu nimeshafanya vitu vya hovyo Hakuna mfano iwe kwa kusudi au bahati mbaya,lakini ndio kipenzi Cha familia na hili nililijua kwenye magumu niliyopita huko nyuma hawajahi niacha peke yangu....
Pengine Ndio sababu nipo hai mpaka leo na bado Ni msabazaji wa bangi mkubwa nyanda za juu kusini💪
😂😂😂😂😂 ila anko una mambo weweUmenisema mimi kabisa mkuu, maana kipaji changu kinajulikana...😋View attachment 3654767
Oyaa kidogo tu amkutie Seran wanguUmenisema mimi kabisa mkuu, maana kipaji changu kinajulikana...😋View attachment 3654767
Katika Maisha halisiHuo utafiti wako umetumia methodology gani?
Hongera mkuuMe wa 8 kwenye watoto 10...
Kwenye maisha yangu nimeshafanya vitu vya hovyo Hakuna mfano iwe kwa kusudi au bahati mbaya,lakini ndio kipenzi Cha familia na hili nililijua kwenye magumu niliyopita huko nyuma hawajahi niacha peke yangu....
Pengine Ndio sababu nipo hai mpaka leo na bado Ni msabazaji wa bangi mkubwa nyanda za juu kusini💪
FAMILY🙌
HahahaAah bamtu mimi sitaki maunene ya hivyo😁
Seran na makebo yake, hapo hajaamka na ametapakaaa😁, je aki stand up?Umenisema mimi kabisa mkuu, maana kipaji changu kinajulikana...😋View attachment 3654767
Mkuu tugawane hii keki ya taifaUmenisema mimi kabisa mkuu, maana kipaji changu kinajulikana...😋View attachment 3654767
Order zimekua nyingi sana,Big up sana!
Napataje mzigo wa vishungi pande hizi😎