Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
- Thread starter
-
- #21
Tabia zao kwa kiasi fulani ni matokeo ya wazazi kuchoka kufanya parenting japo siyo kwa wote.
Uzi umegeuka kuwa wa makebo ila vijana wa JF 🙌😆Umenisema mimi kabisa mkuu, maana kipaji changu kinajulikana...😋View attachment 3654767
Ametumia hisia na kuwaangalia.Huo utafiti wako umetumia methodology gani?
Sasa huo ni utafiti gani?Ametumia hisia na kuwaangalia.
Utafiti asilia.Sasa huo ni utafiti gani?
Mzee niache 🤣Ametumia hisia na kuwaangalia.
Au ulichanganya na BODMAS mkuu?Mzee niache 🤣
Ohh,hizo ni hisia na mtazamo.Utafiti asilia.
Acha tu mkuu.ila wengi hubarikiwaHakuna kitu kigumu kama kuwa mzaliwa wa kwanza halafu uwe apeche alolo ..aloooh kazi unayo
Nakijua MzeeUmenisema mimi kabisa mkuu, maana kipaji changu kinajulikana...😋View attachment 3654767
Yote ya yote uzazi wa 3ama mtoto wa tatu una changamoto sanaYani ni aidha wa pili au wa Tau au wa nne.namba hizo tajwa
Hata ikiangukia mwishoni.
Yani ikiwa umezaa watoto watano basi ni yule wa tatu au wa nne.
Ikiwa umezaa wanne basi ni yule wa tatu.
Ikiwa umezaa watatu basi ni yule wa pili Hata ukizaa kumi lazima wawepo wawili au watatu wale wa katikati.
Hawa ni aidha wanakuwa na tabia mojawapo ya zifuatazo
-wachangamfu sana,nyumba ikiboreka wakiwepo hapaboi
-wamejaa matukio na visa,sio nyumbani,mtaani sio shule.
Mzazi utapata hekaheka kwenye makuzi yake
-wemgi Wana vipaji,utakuta ni dancer,muimbaji nzuri nk
-micharuko hutokea kwenye hili kundi pia
-kwa asilimia kubwa ndio huwa mkombozi wa familia ukiambatanisha na firstborn japo baadhi hushindwa,wengine hupotea
Je unaona kama nnavyoona mie?
🤣Au ulichanganya na BODMAS mkuu?
We mwenyewe umeonaYote ya yote uzazi wa 3ama mtoto wa tatu una changamoto sana
Mmhh explain Kwa upana zaidiWasumbufu kweli kwasababu hawana u-special wowote. Hawawezi kukaza, wala kudeka nyumbani (sina uhakika lakini)
Samahani mkuu kauli yako bado sijaielewa hogo tamu haswa.!!! hii Nini maana yakeNa unaonekana una hogo tamu haswa.
Mmnhhhh🤔Na unaonekana una hogo tamu haswa.
Firstborn wanajulikana kwamba wana majukumu almost kama ya wazazi wao ndani ya nyumba, lastborn wanajulikana kwa mideko yao, sasa hawa wa katikati wao wapo wapo tu 😁Mmhh explain Kwa upana zaidi