Utafiti wangu: Watoto wa kati kati katika uzao wamejaa matukio sana

Am more than serious hommie!
Do somethin’
 
Uzi umegeuka kuwa wa makebo ila vijana wa JF 🙌😆
Ndio maisha yalivyo mkuu, siunajua penzi ni kitovu cha uzembe...🤭
Maana juzi pia tulikua tunaongelea mambo ya watoto...
Mwisho nilimwambia nina mpango wa kua na watoto 10, kwanza akastaajabu..... na akasema yeye hawezi kuzaa watoto zaidi ya mmoja.
Basi mimi nikamjibu.... hata hivyo hao watoto ninaotaka kuwazaa, sina mpango wa kuzaa nae hata mtoto mmoja wao...🤣
 
Firstborn wanajulikana kwamba wana majukumu almost kama ya wazazi wao ndani ya nyumba, lastborn wanajulikana kwa mideko yao, sasa hawa wa katikati wao wapo wapo tu 😁
So wakikaza hawana kipaumbele,wakideka hawana nafasi
Ndo wanaishia kwenye vioja na matukio
Lakini mi naona ni tabia za asili Kwa ndani
 
Hakuna kitu kama hiyoo.
Acha ndoto za mchana, mtoto ni mtoto tu

Kuna mambo ya genes na environment ndo yana play part
 
HHaha we jamaa 😂😂😂😂
 
Uko sahihi asee si kwetu wa5 ila mi ndo wa katikati yaani wa3 sifa zote ulizotaja ninazo kasoro ya uchangamfu nyumbani mi ni introvert ila nikiwa mtaani na marafiki tuloshibana nachangamsha kijiwe mpaka wasiponiona wanakuja kuniulizia home,
Hapo ndo bi mkubwa huwa anachoka yaani huyu na ukimya wake anatengenezaje marafiki Kijiji.
Pia point ya kuwa mkombozi nyumbani nimelamba 0 nahisi mi ndo tegemezi la kutupwa pamoja nna kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…