Utafiti wangu: Watoto wa kati kati katika uzao wamejaa matukio sana

Nina kesi kuna mtu kapiga mwenzake..huyu wa pili..ni yuko na vibe na haogopi mambo😀😀😀
 
Sina hakika na bandiko lako mleta mada, lakini navyojua “mara nyingi “ watoto wa katikati huwa neglected katika malezi.

Wazazi ni binadamu, hawawezi kumpenda&kumtreat kila mtoto katika uwiano ule ule.

Watoto wa katikati ni kama rebels fulani kitabia.
 
Hapo mwishoni mkuu😄
Usiseme hivyo
 
Huu ndio uhalisia kutoka familia nyingi!
Your browser is not able to display this video.
 
Ripoti kituo chochote cha Polisi kilicho karibu na wewe Kwa hiyari, kabla haijatumika nguvu.

Huwezi kusema hadharani unasambaza bidhaa haramu halafu vyombo vya usalama vikuchekee
 
Ndio huwa hivyo
Unadhani shida ni malezi tu?
 
Kuna kitu umekiona na kukishuhudia hao kwenye familia tunawaita Wanyamwezi wanabebeshwa mizigo mizito wanaibeba na inafika maana yake hao ndio yale mawe yaliyokataliwa na waashi ila ndio yanashika nguzo za nyumba isibomoke
Miss u kichaa wangu😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…