Kweli kabisaa!! Uzuri wa shngz Pesa, Mtoto akipendwa upande wa Babae, Lazima baba yake ni Maskini, anasaidiwa saidiwa tu, lkn Baba akiwa msomi na mifwedha, Mijumba ya maana , Magari, na Watoto wote mnasoma Shule nzuri! Air Ticket go en Return! Mabinti wanaolewa ndoa za maana, hapa ndoo! ayah! yaya yay! wanatamani kufa!
Mashangazi Elimu dororo, pesa, mbaya zaidi hawajaolewa! na watoto wao wanaishia Ualimu tuu! wakiolewa ni mmoja kwa Bahati. llazima wajikombe kwa kaka yao aoe wa-mzime wifi yao! na watoto wa Ba mkubwa wapigaji, mara kauza Ng'ombe katimka kwao, mara kauza baiskeri, mara Kaiba Radio.
Baba mtu akioa tu lazima maisha hayatakuwa standard tena, watoto mtayumba kidogo kiuchumi asipo kuwa makini. Labda amuombe Mungu sana na kutubu!
Wana muonea wifi yao wivu, wanataka awe km wao! maana mtoto kwa Mama ni usipime, Mama ni zaidi ya kila kitu Duniani hata Mama yako akikupa sumu waziwazi unaamini hutakufa, hata ukifa unajua hutaoza, Mama anajua.
Ajabu jamii za Baba ndoani hawakomai hasa ke'' wanakuja kwa Kaka yao but hawajui wala hawataki kuballance! na wanasaidiana sana na Ma-binti zao, ni wachonganishi kwenye familia, ukitamka ''uchawi'' tu kesi kwa Baba! ili wamtoe kwa reli, Kidogo Utasikia ''huyu mtoto ana jisikia, ana kiburi ajili pesa ya Babake! km ilivo familia ya msuya.