Utafiti Wangu: Watoto wengi hupenda zaidi ndugu upande wa mama kuliko upande wa baba

Ukiona mwanamke anang'ang'ania kuwa na mahusiano ya karibu na ukoo wake ELEWA WAZI UMEINGIA CHAKA. Hiyo ndio type ya wanawake wasiochelea kusema "SIJAUA KWETU, KAMA UMENICHOKA NIRUDISHE!" Ni aina mpya ya makahaba waliojiweka kama mke wa ndoa!! Men you better watch out!!!
emoji102.png
Daaah sisi akina baba tuna changamoto sana mkuu
 
Niliwahi kuhudhuria send off ya rafiki yangu mmoja. Eti wakati wa mawaidha mama wa mke anasimama na kusema, "baba tumekupa huyu binti hana alama yoyote ya kipigo mwilini mwake. Ikitokea amekushinda au mmeishana tafadhali usimguse, mrudishe tu nyumbani kama ulivyomchukua." Huu ni ujinga mkubwa na ni pigo kuu kwa ndoa. Mwanamke huingia kwenye ndoa mguu mmoja ndani mmoja nje. Hana cha kupoteza kwenye ndoa no matter what happens.

Sasa mimi nilimwambia jamaa yangu, "ingekuwa mimi ndio naoa, ndoa hii ingeishia hatua hii hii ya send off, basi!!" Jamaa hakunielewa kabisa. Usithubutu kuoa mwanamke ambaye wazazi wake hawako radhi kumwacha huru. Huwezi kamwe kujenga familia imara badala yake itakupasa wewe ndio uwe nafasi ya mke kusudi ndoa idumu. Matokeo yake upande wa mwanamke utakuwa na nguvu kwenye ndoa yenu kwa, sababu bila hivyo mke hakai.

Mke bora kabisa ni yule ambaye maisha yake ameyatoa asilimia 100 kujenga ndoa yake. Mwanzoni roho yake iliambatana na wazazi wake, lakini tangu mwanamume alipomwingilia akamtoa bikra, alipanda ndani yake roho mpya ambayo inakwenda kuziba gap lililokuwa likijazwa na wazazi. Sasa amefungamana na mtu mpya, ndio maana binti kabla ya kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza huripoti kwa wazazi kila tukio linalohusu mapenzi. Ila siku akiingiliwa tu, huanza kuficha kila tendo wazazi wasijue, hakuna tena muunganiko. Anaweza hata kubanwa gheto kwa msela kwa siku kadhaa huku wazazi wakihaha kumtafuta.

Sasa ukioa mwanamke wa aina hii, hawezi kuwa na muunganiko wa kweli na mumewe, achilia mbali ukoo wa mume. Kwake yeye wazazi ni kimbilio pale anapoharibu, kwa sababu rohovyake ishavurugwa na wanaume wengi, hivyo ana emotional blur. HAJUI KUPENDA, anategemea mashosti wa Instagram na semina za akina mauki wamfundishe mapenzi ni nini. Amesahau kuwa alitoroka darasani pale wazazi wake walipokuwa wakifundisha kwa mtaala halisi wa malezi, akakimbilia ukahaba. Sasa akiingia kwenye ndoa ataishi kwa experience ya hao wanaume walio tangulia kuwa naye, atamchukukia mume wa ndoa kama WANAUME WENGINE TU. Kwa mtindo huu kwa nini asiimarishe ukoo wake ndani ya ndoa?

Kosea yote, lakini usikosee kuoa, majuto yake ni makuu.

Asante
 
Ndugu wa kweli ni upande wa mama, sitajari endapo wanangu watazamia upande wa mama yao kwani hata mimi nilifanya hivo
 
Niliwahi kuhudhuria send off ya rafiki yangu mmoja. Eti wakati wa mawaidha mama wa mke anasimama na kusema, "baba tumekupa huyu binti hana alama yoyote ya kipigo mwilini mwake. Ikitokea amekushinda au mmeishana tafadhali usimguse, mrudishe tu nyumbani kama ulivyomchukua." Huu ni ujinga mkubwa na ni pigo kuu kwa ndoa. Mwanamke huingia kwenye ndoa mguu mmoja ndani mmoja nje. Hana cha kupoteza kwenye ndoa no matter what happens.

Sasa mimi nilimwambia jamaa yangu, "ingekuwa mimi ndio naoa, ndoa hii ingeishia hatua hii hii ya send off, basi!!" Jamaa hakunielewa kabisa. Usithubutu kuoa mwanamke ambaye wazazi wake hawako radhi kumwacha huru. Huwezi kamwe kujenga familia imara badala yake itakupasa wewe ndio uwe nafasi ya mke kusudi ndoa idumu. Matokeo yake upande wa mwanamke utakuwa na nguvu kwenye ndoa yenu kwa, sababu bila hivyo mke hakai.

Mke bora kabisa ni yule ambaye maisha yake ameyatoa asilimia 100 kujenga ndoa yake. Mwanzoni roho yake iliambatana na wazazi wake, lakini tangu mwanamume alipomwingilia akamtoa bikra, alipanda ndani yake roho mpya ambayo inakwenda kuziba gap lililokuwa likijazwa na wazazi. Sasa amefungamana na mtu mpya, ndio maana binti kabla ya kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza huripoti kwa wazazi kila tukio linalohusu mapenzi. Ila siku akiingiliwa tu, huanza kuficha kila tendo wazazi wasijue, hakuna tena muunganiko. Anaweza hata kubanwa gheto kwa msela kwa siku kadhaa huku wazazi wakihaha kumtafuta.
Point sana hii mkuu...
 
Ndugu wa upande wa Baba huwa ni wenye wivu, hawana msaada, wachawi hawana upendo hawapendi uendelee ila ndugu wa upande wa mama wana upendo na hupenda ueendelee.
Kweli kabisaa!! Uzuri wa shngz Pesa, Mtoto akipendwa upande wa Babae, Lazima baba yake ni Maskini, anasaidiwa saidiwa tu, lkn Baba akiwa msomi na mifwedha, Mijumba ya maana , Magari, na Watoto wote mnasoma Shule nzuri! Air Ticket go en Return! Mabinti wanaolewa ndoa za maana, hapa ndoo! ayah! yaya yay! wanatamani kufa!

Mashangazi Elimu dororo, pesa, mbaya zaidi hawajaolewa! na watoto wao wanaishia Ualimu tuu! wakiolewa ni mmoja kwa Bahati. llazima wajikombe kwa kaka yao aoe wa-mzime wifi yao! na watoto wa Ba mkubwa wapigaji, mara kauza Ng'ombe katimka kwao, mara kauza baiskeri, mara Kaiba Radio.

Baba mtu akioa tu lazima maisha hayatakuwa standard tena, watoto mtayumba kidogo kiuchumi asipo kuwa makini. Labda amuombe Mungu sana na kutubu!

Wana muonea wifi yao wivu, wanataka awe km wao! maana mtoto kwa Mama ni usipime, Mama ni zaidi ya kila kitu Duniani hata Mama yako akikupa sumu waziwazi unaamini hutakufa, hata ukifa unajua hutaoza, Mama anajua.

Ajabu jamii za Baba ndoani hawakomai hasa ke'' wanakuja kwa Kaka yao but hawajui wala hawataki kuballance! na wanasaidiana sana na Ma-binti zao, ni wachonganishi kwenye familia, ukitamka ''uchawi'' tu kesi kwa Baba! ili wamtoe kwa reli, Kidogo Utasikia ''huyu mtoto ana jisikia, ana kiburi ajili pesa ya Babake! km ilivo familia ya msuya.
 
Hongera[emoji122]!!
Umeongea point sana[emoji736].
 
Shida iko kwenye misingi!mfano mimi nimelelewa na bibi na babu wa mama na sio kwa baba so hapo kwa namna yoyote ile lazima niwe karibu na ndugu upande wa mama na sio baba
 
Una raha jamani...mimi watoto wa ba mkubwa hata siwafahamu...tunaweza kupishana tu barabarani. Watoto wa baba mdogo wapo watano ila ninaoweza kuwatambua hata nikikutana nao kariakoo ni wawili hao watatu pengine tushapigana vikumbo sana humu mtaani
Mimi baba yangu mdogo ana watoto sita Ila ninae mjua Ni first born tu wengine sura hata sizikumbuki[emoji2]

Na baba mdogo mwingine nae Ni hivyo hivyo tu .

Ila mama zangu wadogo na uncle zangu watoto wao wote nawajua na nikikutana nao Ni stori tu
 
Back
Top Bottom