Utafiti Wangu: Watoto wengi hupenda zaidi ndugu upande wa mama kuliko upande wa baba


Wewe mwenyewe ukiwa na mabinti uta ongea hayo hayo. Uchungu wa mwana aujuaye mzazi na si mtu mwingine yoyote
 
zaa wa kwako ndio utajua uchungu wake. Hakuna mtu mwenye uchungu na mtoto wa mwingine ukiwa na wa kwako hata hutaona unampa kiburi bali utaona unamuasa sawa.
Eti mzazi wa binti ananiambi mimi muoaji kwamba;

"baba tumekupa huyu binti hana alama yoyote ya kipigo mwilini mwake. Ikitokea amekushinda au mmeishana tafadhali usimguse, mrudishe tu nyumbani kama ulivyomchukua."

Siku hiyo hiyo mbona nitaomba kurudishiwa mahari yangu nao wabaki na huyo binti yao azeekee hapo nyumbani.
 

Kwa binti wa mwenzako sawa unamuacha ila kwa wa kwako wewe ndio utakuwa kinara wa kumlisha ujeuri.
 
Wewe mwenyewe ukiwa na mabinti uta ongea hayo hayo. Uchungu wa mwana aujuaye mzazi na si mtu mwingine yoyote
Naelewa maana ya ndoa mkuu. Kama uchungu wa Mwana ndio huo, basi usiruhusu binti yako aolewe ili awe salama mikononi mwako.
 
Naelewa maana ya ndoa mkuu. Kama uchungu wa Mwana ndio huo, basi usiruhusu binti yako aolewe ili awe salama mikononi mwako.

Ukiwa na binti utaelewa maana ya ndoa na maana ya mzazi
 
Ukiwa na binti utaelewa maana ya ndoa na maana ya mzazi
Naelewa maana halisi, sio hiyo fabricated kiasi ndoa imegeuka taasisi ya Malalamiko na manung'uniko. Kitendo cha mzazi kuongoza maisha ya mwanaye anayeolewa ni KUTOKUTAMBUA NA KUHESHIMU TAASISI YA NDOA. THINK
 
Mhhh...
 
Ndugu skuiz mpk uwe na kitu so hawana maana yyt , kwng binadam yyt tukienda sawa ndugu yng.
 
Wewe mwenyewe ukiwa na mabinti uta ongea hayo hayo. Uchungu wa mwana aujuaye mzazi na si mtu mwingine yoyote
Mwanzo 2 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁴ Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
²⁵ Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya.


Sasa hapo mzazi anatafuta nini kwenye ndoa ya binti yake? Wazazi nao ni ndoa kamili kama ilivyo kwa watoto wao, hivyo NI DHAMBI KUBWA kujiunganisha na ndoa ya watoto. Habari za uchungu wa mwana hazina mashiko hata kidogo. Mzazi mwenye uchungu na binti yake atamlea katika maadili mema kisha atasimama kuhakikisha anaolewa na kijana sahihi. Sio kusubiri anapoolewa halafu anamwekea masharti, ni upungufu wa hekima na pia ni dhambi.
 
Safi sana mkuu. Andiko zuri hili
 

Ukiwa na binti omba hekima
 
Ukiwa na binti omba hekima
Ukiwa na hofu ya Mungu utapata hekima, sio binti. Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa. Nje ya hapo ni maneno ya kutoka kwa yule mwovu. Kumbe hekima ya KUMTOA BINTI AOLEWE haina jipya zaidi ya hekima ya Mungu. Tabia mbovu ya wazazi wa kisasa; wanawake ambao binti zao katika ukahaba kisha wanakuwa na mashaka kama watabaki salama kwa waume zao. Ndivyo pia wanavyolelewa vijana wa kisasa, hawajui hata majukumu ya ndoa. Matokeo yake ndoa imegeuka taasisi ya majaribio. HEKIMA INA MUNGU PEKEE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…