Utafiti waonyesha wanaume wenye vipara wanawavutia sana wanawake kuliko wenye nywele

Afu hapo hapo mnataka mzae watoto wenye nywele ndefu!?
 
Dah embu acheni hizo Nakadori mpenzi umekosea sana kuleta hizo tafti sababu

Kuna vivulana hapa vitaenda kunyoa vipara na kutia konyagi ya kienyeji ili viwe na vipara .

Ungekausha tuendeleee kuenjoy kupata vitoto vibichi

Kuitwa wenye akili sana kumbe shule kwenyewe tulikuwa ni wale maajaliwa nimalize tu .

Kuitwa majina ya heshima mara profesa , Mkuu [emoji3] , bwana mkubwa yaani ni full raha tu huku upepo unapita kimya kimya uparani
 
Hahahah mkuu una kipara??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…