Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndo na malizia kufuga ndevu apa mme kuja na lingine, kwaiyo nka nyoe tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndo na malizia kufuga ndevu apa mme kuja na lingine, kwaiyo nka nyoe tena
Eeh! Kuna aina ya vipara tenaAah sio kipara cha hivo sasa ni kile kipara fulani hivi cha heshima
Ndiyo vipo hadi vya shida.Eeh! Kuna aina ya vipara tena
[emoji1787][emoji1787][emoji119]Afu hapo hapo mnataka mzae watoto wenye nywele ndefu!?
Hamna namna[emoji1787][emoji1787][emoji847]
Wenye vipata tunaopoa Pisi kali sanaUtafiti unaonyesha wanawake wanao vutiwa na wanaume wenye vipara hawana shape
Dah embu acheni hizo Nakadori mpenzi umekosea sana kuleta hizo tafti sababuKuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi, siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara.
Nikiongelea vipara naongelea wale walio na vipara asili, achilia mbali wale wanaopenda kunyoa vipara japokuwa kuna baadhi ya sifa hapa wanaweza wakawa nazo pia.
Muonekano wa kiume: wanaume wenye vipara wengi huwa na muonekana wa kiume zaidi,muonekano nadhifu sina maana kama wanaume wengine walio na nywele ndefu ama wastani hawana mvuto lah, nauongelea mvuto zaidi ama mvuto wa kipekee.
Ujasiri: wanaume wa aina hii wengi huonekana ni wajasiri kwa muonekano wao tu, hii huwafanya kuwa kivutio kwa wanawake.
Wana hisia kali za kimapenzi: daktari kutoka Chuo cha Yale Marekani , James B. Hamilton alisema katika utafiti wake wanaume wengi walio na vipara miili yao huwa inazalisha mbegu nyingi za kiume kuliko wanaume wenye nywele, japokuwa si kwa asilimia 100 alisema pia uchunguzi zaidi bado unaendelea ili kutetea uchunguzi huo.
Hawana muda na Vioo: mwanaume anaefuga nywele ndefu hutamani aonekane msafi na mtanashati kwahiyo hatokaa mbali na kitana chake wala mbali na kioo chake, labda tu awe ana Rasta. Mwanaume mwenye vipodozi vingi kwaajiri y aywele zake kumshinda msichana
Wastarabu : kuna utofauti wa muonekano kati ya mwanaume mwenye kiduku, na suti na mwenye upara na suti watu hawa wawili wanaweza kuonekana tofauti sababu tu ya nywele zao,muonekano wao unaweza ongelewa tofauti mbele za watu.
Wapo tayari kwa mabadiliko: kama mtu ameweza kukubali kwamba hawezi kuwa na nywele kama watu wengine na akaibubali hali yake, tofauti na wale wanaovaa kofia sana na wengine nchi za nje wanavaa hata mawigi ili wasionekana hawana nywele. Lakini wapo wanao ichukulia kama hali ya kawaida hawa ni zaidi ya wajasiri. Wanaweza kuvumilia
Vin Diesel, L.L. Cool J, Bruce Willis, Michael Jordan and The Rock (Dwayne jonhnson hawa ni Baadhi tu ya mastaa kutoka Marekani Ambao wana vipara
View attachment 2513636
Baby wangu wa jf vp una kipara?? Au tukitengenezee?
Hahahah mkuu una kipara??Dah embu acheni hizo Nakadori mpenzi umekosea sana kuleta hizo tafti sababu
Kuna vivulana hapa vitaenda kunyoa vipara na kutia konyagi ya kienyeji ili viwe na vipara .
Ungekausha tuendeleee kuenjoy kupata vitoto vibichi
Kuitwa wenye akili sana kumbe shule kwenyewe tulikuwa ni wale maajaliwa nimalize tu .
Kuitwa majina ya heshima mara profesa , Mkuu [emoji3] , bwana mkubwa yaani ni full raha tu huku upepo unapita kimya kimya uparani
Asiwe mzunguu awe mbongoo kitu cha melaninMwenye kipara kama huyu?View attachment 2513749
Ninacho banaHahahah mkuu una kipara??