Utafiti waonyesha wanaume wenye vipara wanawavutia sana wanawake kuliko wenye nywele

Baby hivi Sasa nyie wanawake mnataka nn?.

Nimefuga ndevu, Nina sixpacks, ni mweusi, mwemba , Nina Ajira Nina vibashara vyangu, , ni mcheshi , na Maneno matamu, shoo ndo usiseme.

Unataka nini Baby?? Mnataka nn nyie wanawake !!
TUFE.
 
Aisee To yeye bebi wife hivi kipara changu asili na ndevu zangu hapa kidevuni zinakuvutia kweli? Kama miss Nakadori alivyoandika hapa ?
 
Embu ongeza sauti huku nyuma tukusikie vizuri eti Ma Mshuza
 
WANAWAKE HAWAELEWEKI,
Huyo kipara uliemuweka picha,
Siku 4 zilizopita, Katoka kupigwa kibuti[emoji4]
 
Kunyoa kipara ni uhuni ??....nakumbuka kipindi Fulani wakati January makamba anatangaza nia ya kuwania uraisi wa JMT......walinukuliwa watu wakisema hatuwezi kua na raisi mnyoa vipara.....

Kipindi flani shuleni Secondary rafik yangu alirudishwa nyumbani akalete mzazi kisa alinyoa upara....Eti mwalimu anamwambia uhuni 😊😊akae home mpaka nywele zitakapo ota...
Jamaa aka mleta mlezi wake mzee maarufu tena wa kuheshimika.....mwalimu alipo kua anaelezea kuhusu kosa la kijana la kunyoa upara kua ni uhuni.....mzee akatoa baragashia 😊😊😊😊 aka muuliza mwalimu Ina maana hata mm ni muhuni kisa nimenyoa kipara 😊😊😊😊
Kwa heshima ya yule mzee Mwalimu hakujib chochote....😊😊😊😊
 
Sio kipara cha kunyoa soma uzi vizuri. Ni kipara cha asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…