Utajiri wa 'ngende' (ushirikina) una masharti magumu kuliko utajiri wowote ule duniani

Utajiri wa 'ngende' (ushirikina) una masharti magumu kuliko utajiri wowote ule duniani

Kuna nyingine hio Kuna watu wanamhisi anayo jamaa flan hv ni kwamba akikukopesha kitu(fedha) huwezi kurudisha bond ni nyumba tu....kwa hio jamaa ni tajiri kupitia hio michezo ukifeli kurudisha hela anachukua nyumba
Hi Mara nying Hawa wanao kopesha kwa riba mtaani yaani ukianza nao TU utakuwa mtu wa hvyo hvyo kwao yaaani Kuna jamaaa Yuko kitaa flan nae zake Ni nyumba TU humaliz deni ana nyumba kibao mjini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shida sio hayo masharti kufuata ila hawa wataalamu wana tabia za kukusahaulisha ili ufeli na madude yake yapate sababu ya kukufilisi
Hayo Ni maagano nilishapelekwa sehemu nikawekwa kwenye kigoda ndani ya pango saa nane usiku alipita chui nikastahimili,akapita cobra black mamba nikastahimili hatua mwisho only nilishindwa my son kumpeleka kwa ngai hapana aiseee wacha TU nibaki hiv hvi
 
Hata wewe na wenzako walokole ni wajinga, mnaabudu na kupiga mayowe ovyo kwa kitu ambacho hamkioni, nyie mkiendelea kua maskini na kuwatajirisha manabii wenu na wachungaji
Yaani wee jamaa kwa akili hizo wazazi wako bora wangezaa tu kigoda wakalie. Shida sii kuwa mlokole au kuamini waganga kila mmoja na maamuzi yake.
Ila ninacho kimaanisha kwa mganga yupi utaenda akupe utajiri wa mabilioni halafu malipo yake yawe kupeleka sindano au shilingi 100 kila mwaka.
Wabongo wengi ni wajinga usikute wewe ni jitu zima na mindevu imekujaa unaamini huo upuuzi.
 
Unajua mimi kwa ''ujinga'' wangu nilikuwa sidhani kama kuna binadamu tena kijana aliyesoma anaweza kuamini hayo mambo ya ''ngende'' na utajiri. Kumbe hata meseji za kitapeli zinazotumwa kwenye simu huwa zinapata ''mabwege'' wa kuliwa. Hata huyu mwanzisha thread anatafuta bwege wa kumliza na huenda kabisa akapata wengi. Kweli dunia ni mzunguko.
Kwa hyo hakuna utajiri wa uchawi ?...

In short hakuna uchawi kabisa si ndio ?
 
Hujajibu swali, kuna shida gani na utajiri wangu kula kwa mama ntilie ? Kwani chakula chao kina sumu? Kwani unaangalia uduni wa sehem au kupata hitaji la chakula ushibe uondoke, hizi mindset za kipuuzi mlizojiwekea waafrika hua nazishangaa sana, tena kwa matajiri, kwani ni lazima tajiri ale hotel ya nyota tano..hata kama ni masharti, kila jambo lina taratibu zake na lazima zifuatwe, lakini sioni sababu yoyote katika uhalisia kwanini mwenye pesa asile kwa mama ntilie.
Haina haja ya kulumbana. Kale kwa mama ntilie na utajiri wako.
Mwisho uta question kwa nini mtu akae first class kwenye ndege wakati safari ni hiyo hiyo. Kwa nini mtu anunue Harrier wakati hata IST itafanya safari hizo hizo. Kwa nini mtu alale Hotel kama Kampeski badala ya Guest House wakati usingizi ni huo huo. Ndiyo small mentality yako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sio mbali Kuna mwana mmoja asaiv ana vyuma hatarii alikula kiapo yeye na mkewe hakuna kuchepuka akitaka mwanamke lazima afunge nae ndoa Kwanza ndio amgegede.

Jamaa alikuwa Hana vyuma nikampeleka Hilo chimbo alivyofanikiwa kanikataa kabisa yaaani kisa mm sijataka huo utajiri habar ya kupangiana kugegeda sitak kusikia kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio mbali Sana nikupita mto wami TU kwa mbele
Kuna masharti mengine au hilo la kugegeda tu?? Sasa unashindwaje?? Bora tu anavyokukataa
 
Acha kutapeli watu mkuu,labda Kama unazungumzia ngende ya mgodini,Ila Kama unazungumzia ngende ya liwale iliyoko Kijiji Cha mpigamiti Basi jua unataka kutapeli watu hapa.

Kiufupi huwezi nificha kitu kuhusu huyo Bibi njumwite,na vibaraka wake,wale wote ni matapeli,ukienda pale wako radhi wakupukitushe Hadi chupi uliyovaa,

Wakuu nashauri msijaribu hata kumfuata huyo bwana PM,Ila Kama mnataka kuibiwa Basi jaribuni,I speak from my experience,nimewahi kufika huko,nilichoambulia ni kutapeliwa kila kitu na hao jamaa wa ngende,hakuna jipya nililoliona.
Kiuchumi kwa ukoje? Na ulipewa mashart gan?
 
Hayo Ni maagano nilishapelekwa sehemu nikawekwa kwenye kigoda ndani ya pango saa nane usiku alipita chui nikastahimili,akapita cobra black mamba nikastahimili hatua mwisho only nilishindwa my son kumpeleka kwa ngai hapana aiseee wacha TU nibaki hiv hvi
Umpeleke ili awe kafara?? Hapo hapana aisee
 
Yaani wee jamaa kwa akili hizo wazazi wako bora wangezaa tu kigoda wakalie. Shida sii kuwa mlokole au kuamini waganga kila mmoja na maamuzi yake.
Ila ninacho kimaanisha kwa mganga yupi utaenda akupe utajiri wa mabilioni halafu malipo yake yawe kupeleka sindano au shilingi 100 kila mwaka.
Wabongo wengi ni wajinga usikute wewe ni jitu zima na mindevu imekujaa unaamini huo upuuzi.
Mkuu hz mambo Ni za kweli nilianza harakat za waganga tangu Niko primary school nilichoka na maisha ya geti nilitamani maisha yangu binafsi ya kiuchumi na kila nilipoenda kwa mtaalamu umri ulikuwa mdogo na walishangaa saana

Shule sikuipa nafas na nilisoma sababu TU ya mazingira ya home na nikapata vyet vizuri na taaluma Zaid ya moja lakini si pesa nayopata ndio ninayo hitaji

Nishazunguka kwa waganga Hadi Malawi changamoto kubwa nijitoe kafara au nitoe mtu hapo ndio naposhindwa nimeshafika mpaka mlango wa kuzimu yote Ni sababu ya pesa kwa umri nilio kuwa nao nishazunguka saana katika vilinge vya uganga
 
Hi Mara nying Hawa wanao kopesha kwa riba mtaani yaani ukianza nao TU utakuwa mtu wa hvyo hvyo kwao yaaani Kuna jamaaa Yuko kitaa flan nae zake Ni nyumba TU humaliz deni ana nyumba kibao mjini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa mkuu....!!Yani unaweza kukopa ata kiasi cha fedha unachoweza kukilipa lkn baada ya hapo huwezi kurudisha io fedha....jamaa ni tajiri wa nyumba maana bond yake ni nyumba
 
Back
Top Bottom