Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #41
Sijajua, kama kufanyiwa uchunguzi hospitali, kwa macho yetu haya ya nyama, tunaweza kutoa majibu tofauti.Kama ni ugonjwa watasema na kama alinyongwa watamuona na kama kapewa sumu pia itajulikana
Wapo wanaouwawa na inapita kama alikufa ghafla ooh moyo tu umesimama
Ila kungekuwa na utaratibu wa kupeleka maiti hospital kwanza
Mkuu tunatafuta majibuHaya maswali mengine bhana ni mfano wa ku uliza funza kaingiaje kwenye kokwa la embe....ngoja tuone
Buza kuna warusi. Wewe ni mmoja wa wazungu wa Buza?We Jamaa ni mongo sana, wazungu Wana mavitabu kibao yanayozungumzia uchawi , Sasa we kutoka idugumbi unajidai mjuaji kausha mzee, wazungu Wana tatuu kibao za kujikinga na uchawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushirikina ungekuwapo, ungefanya kazi benki au polisi, kama unabagua maeneo ya kufanya kazi, ushirikina gani huo?
Kuamini ushirikina ni ujinga uliopitiliza, watawala wengi Afrika wanapigia chapuo imani hizi ziendelee, zinasaidia sana kwenye kutawala.
Tupe elimu mkuuHakuna mtu anaefariki kwa mpango wa mungu wala kwa ushirikina.
Kukimbilia kumuita mtu "mjinga" kisa tu yupo tofauti na wewe kimtazamo ni uchanga wa ushiriki mijadala.Uhakika hupatikana tokea kwenye udadavuzi thabiti.
Jiulize kwanini haupo ushirikina Ulaya, Canada, Marekani au Japan huko ila dongo beshi?
Nikutoe shaka ndugu, kumbatia ushirikina kwa ujinga wako.
Habari ndiyo hiyo.
Kuna njia ya kumrudisha?Ndio
Inategemea yupo stage gani,Kuna njia ya kumrudisha?
Ushirikina haupo, wala mungu hayupo. Ila sisi viongozi tunapenda muendelee kuamini hivyo, inaturahisishia kuwatawala, sehemu tunazoshindwa kutimiza wajibu wengi, tutasingizia kwamba ni mungu au shetani, kesi itakuwa imeisha.Tupe elimu mkuu
Stage zikoje?Inategemea yupo stage gani,
Vidole vyake vimejaa dharau tu. Nchi alizo zitaja sidhani kama ameishi...We Jamaa ni mongo sana, wazungu Wana mavitabu kibao yanayozungumzia uchawi , Sasa we kutoka idugumbi unajidai mjuaji kausha mzee, wazungu Wana tatuu kibao za kujikinga na uchawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukimbilia kumuita mtu "mjinga" kisa tu yupo tofauti na wewe kimtazamo ni uchanga wa ushiriki mijadala.
Hizo nchi ulizozitaja umewahi kuishi?
Ushirikina ni nini?
Hadi roho inatoka kwa mtu huwa sio siku hiyo hiyo. Kifo ni mchakato ( mtu huanza kufa rohoni) kabla ya manifestation mwilini. Kifo kikiwa katika ngazi ya rohoni unaweza deal nacho, na pia kikiwa kimefika katika mwili kabla nafai yake aijawa dominated na ulimwengu mwingine pia unaweza mrudisha, ila tu nafsi ikiensa katika ulimwengu mwingine imeisha hiyoStage zikoje?
Utakuwa umeshindwa kuelewa hoja.
Hoja ni kuwa ushirikina ni chimbuko la ujinga. Muumini katika ushirikina atakuwa na jina lipi basi la kumwakilisha?
Kushindwa kuliita koleo kwa jina lake hakusaidii kitu ndugu.
Koleo ni koleo siyo kijiko kikubwa.
Au nasema uongo ndugu zangu?
"Hudhani" na bado unaendelea kuhitimisha. Kwamba uko vizuri ....?Vidole vyake vimejaa dharau tu. Nchi alizo zitaja sidhani kama ameishi...
"Hudhani" na bado unaendelea kuhitimisha. Kwamba uko vizuri ....?
Pole kama umeguswa ila walisema nyani haoni kun*ule.
Sasa anayechukua huo mwili nani mpaka utengane na roho inayobaki inahangaika hapa duniani?pia hatahivyo roho ambayo imekufa kabla ya muda huendelea kubaki duniani mpaka pale muda unapofika ndipo huenda juu mbinguni au kuzimu kusubiri ile siku ya hukumu ya haki
Kwa hiyo, kama mtazika, hakutokuwa na ishara zozote?Hadi roho inatoka kwa mtu huwa sio siku hiyo hiyo. Kifo ni mchakato ( mtu huanza kufa rohoni) kabla ya manifestation mwilini. Kifo kikiwa katika ngazi ya rohoni unaweza deal nacho, na pia kikiwa kimefika katika mwili kabla nafai yake aijawa dominated na ulimwengu mwingine pia unaweza mrudisha, ila tu nafsi ikiensa katika ulimwengu mwingine imeisha hiyo
Magufuri alikufa kwa mpango wa Mungu baada ya kuitawala Tanzania kidikteta kwa muda wa miaka mitano na kupora chaguzi za 2019 na 2020Katika jamii zetu, kumekuwa na mijadala ya hapa na pale, kuhusu vifo vya binadamu.
Kuna wengine watasema, huyu amekufa kutokana na mpango wa Mungu, na wengine watasema yule amekufa pasipo mpango wa Mungu (kishirikina).
Sasa wakuu, nataka kujua; Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?