Sawa mkuu japo jiulize na wewe kwanini haufanyi sehemu fulani lakini kuna sehemu unafanya kazi tena vizuri mno hapo vipi mkuuUkianzia usipofanya kazi utauona mchezo mzima. Haufanyi kazi benki na polisi angalau kwa kuanzia. Hushtuki tu ndugu?
MhHakuna kifo cha ushirikina mkuu...ni basi tu jamii zetu zina baadhi ya mambo zinakumbatia hayana maana...mi binafsi siamini kama uchawi upo.
Ushirikina Mara nyingi ni WA kuzuia tu maendeleo, na Wala hauleti maendeleo kwa wanaoufanya, ila hapo kweny kifo Cha Mpango wa Mungu na ushirikina nahic mpaka mtu awe na macho ya Roho ndio anaweza juaKatika jamii zetu, kumekuwa na mijadala ya hapa na pale, kuhusu vifo vya binadamu.
Kuna wengine watasema, huyu amekufa kutokana na mpango wa Mungu, na wengine watasema yule amekufa pasipo mpango wa Mungu (kishirikina).
Sasa wakuu, nataka kujua; Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?
Ushirikina ungekuwapo, ungefanya kazi benki au polisi, kama unabagua maeneo ya kufanya kazi, ushirikina gani huo?
Kuamini ushirikina ni ujinga uliopitiliza, watawala wengi Afrika wanapigia chapuo imani hizi ziendelee, zinasaidia sana kwenye kutawala.
Kwamba maeneo fulani haufanyi kazi? Ndiyo sababu yule jaji Kanda ya iringa katengua Ile hukumu ya njombe bila mfungwa kukata rufaa.Sawa mkuu japo jiulize na wewe kwanini haufanyi sehemu fulani lakini kuna sehemu unafanya kazi tena vizuri mno hapo vipi mkuu
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kwa hivyo Mungu anapenda watu tuwe misukule au sio 🤒Kifo chochote ni mpango wa Mungu ametaka iwe hivyo
Tena ndio wakukaa nao mbali; wengine wanajificha kwenye mazingira ya kusali sana
Wengi wanajificha kwenye mazingira ambayo ni vigumu kumshtukiaSio rahisi kukuta mtu asiyeamini kuna ushirikina anasali hata kidogo.
Ukisharogwa utaamini hadi vitabu vya dini vinaamini kwamba uchawi upo au wewe hauna dini na hauamini km kuna MUNGU?mi binafsi siamini kama uchawi upo
Hapo ndipo watu wengi wanakwama sasa... hapo ndipo utaona tofauti kati ya waafrika na wazungu. Wao mgonjwa akipata ugonjwa wasioutambua watafanya uchunguzi mpaka wajue ni ugonjwa gani, na waupatie tiba.Matukio tu yatakuonyesha
Anaenda hospital anapigwa msako wa ugonjwa mwili mzima hospital zaidi ya moja vipimo vinasoma haumwi chochote, ikifika hatua hio chukua hatua madhubuti soon bundi akaa juu ya paa la nyumba yako
Hujakua bado ukikua utaelewa endelea kukua bwa-mdogoIla sisi tunawaza kua mtu karogwa...
Ikitokea amefariki, utagunduaje?Matukio tu yatakuonyesha
Anaenda hospital anapigwa msako wa ugonjwa mwili mzima hospital zaidi ya moja vipimo vinasoma haumwi chochote, ikifika hatua hio chukua hatua madhubuti soon bundi akaa juu ya paa la nyumba yako
Ukiwa msukule bado hujafaKwa hivyo Mungu anapenda watu tuwe misukule au sio [emoji855]
Nmekwambia matukio yanayomkabiri utaelewa chanzo cha yote ni nini aidha anapigwa risasi za urogo ghafla anakufa au kwenye mtiririko wa matukio yaan anakufa pole pole kwa ugonjwa usioonekanaIkitokea amefariki, utagunduaje?