Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
-
- #41
Hilo liko wazi kabisa mkuu,halihitaji mchawi hapaMiaka 50 ijayo wengi wenye umri wa miaka zaidi 30 sasa hawatakuwepo hata wakiwepo hawataweza kuingia JF tena. Miaka 70 ijayo watakuwa wamebaki wachache sana humu.
Mimi Binafsi ndiyo itakuwa imeisha hiyo ππ
π acha iishe tuUnaonaje ukaanza ukaribu na mm ili ukifa nilete taarifa humu? π
Mkuu,vipi kama akitangulia yeye huyo atakayetujulisha?Binafsi yupo atakayejua,atawajulisha
Kuna watu wanatuona kama Matraco yao hawajui kua mtu una badili I'd ila mwandiko watu tuna unyakaπUmejenga nao bond kwa hii ID yako au una ID nyingine? Coz hii ID yako ina kama mwezi mmoja tu hapa JF.
Ni kweli unachokisema, sasa kama watu mnawasiliana hapa hapa Jf then imeisha watajuaje hayo yote?tukiachana na vifo.
Kuna maradhi au maswahibu yanayoweza kumpata mtu kwa muda mrefu.
Ambayo watu wa JF wanaweza kuwa na msaada (kuchangia gharama za matibabu au mawazo, dawa au connection).
Nadhan ni muhim kujuana na watu wa JF hata wawili watatu.
Bado wako kadhaa watakuja kuwatambulishaMkuu,vipi kama akitangulia yeye huyo atakayetujulisha?
Muhimu hii, asante kwa wazo!Hapa mnaweza mkacheza dili la kutangaza kifo kumbe mmejifungia lodge
Ni kweli unachokisema, sasa kama watu mnawasiliana hapa hapa Jf then imeisha watajuaje hayo yote?
Wakubwa hambaniani kabisa hiyo stake.Muhimu hii, asante kwa wazo!
Ngoja nisuke huu mpango aisee! Uko bien sana!Wakubwa hambaniani kabisa hiyo stake.
Ili kucatch attention & public sympathy mpate michango mingi bas yeye atangaze wewe umekata kamba kumbe mpo hotelini unamshave.Niamini mm mkuu, Siwez Kufanya hvy π