The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Yani kuna watu hata kama wameshakufa ila still wanatafuta huruma huko Duniani,Ukishakufa hata watu wakijua hamna maana. Utakuwa umekufa bwashee.
Shem Darling . Msiponiweka kwenye mafao. Nachomoa betri.Ngoja nisuke huu mpango aisee! Uko bien sana!
Naanzaje kuacha kukuweka kwenye mpango shemeji kabisa😁Shem Darling . Msiponiweka kwenye mafao. Nachomoa betri.
Ila mkiniweka bas nakazia ili mpango uende sawia 😂😂😂😂
kutanua wigo wa rasimali watu, maana kuishi vizuri na watu ni kinga ni hivyo tu hamna kingine mkuuKwanini unaona kua kuna umuhimu wa kua na hiyo circle humu JF?
Yani kuna watu hata kama wameshakufa ila still wanatafuta huruma huko Duniani,
Ukifa ndio imetoka,watu wajue au wasijue haibadili kitu wala haiongezi kitu.
Kwamba mm ndo potential Sana Humu?Ili kucatch attention & public sympathy mpate michango mingi bas yeye atangaze wewe umekata kamba kumbe mpo hotelini unamshave.
Hiyo umesema wewe.Kwamba mm ndo potential Sana Humu?
Sema suuuHafi mtu hapa, mchawi wee!
Na mkitombeana wake huo ushoga wenu usifeNina washikaji zangu kibao humu Jf, daily tunapiga story hadi kutembeleana makazini na homez tumekuwa kama family kabisa
Kutoa last respect kwa mtu ambaye hata hamjuani na wala hujui anakaa wapi? How?Haibadili kitu . Ni kweli.
But Binadam ana heshima yake.
Ni muhim watu kujua. Ili kutoa Last respect. Na sio kutafuta huruma.
Paying tribute is indeed the ultimate form of Respecting Human Life.
Sugua mkebo wako utakate!Sema suuu
H n kikabila umeandika auSugu mkebo wako utakate!
NdioH n kikabila umeandika au
Andika kwa Kiswahili sasaNdio
Sugua mtura wako utakate!Andika kwa Kiswahili sasa