Utakapo kufa leo unadhani members wenzako wa jf watajua au ndio ile fulani mbona haonekani hewani?

Kutoa last respect kwa mtu ambaye hata hamjuani na wala hujui anakaa wapi? How?

Last respect inamsaidia nini marehemu?

Ukifa kitakachokusaidia ni yale matendo yako mema tu wakati wa uhai wako (Kwa wenye kuamini imani za dini)

Pamoja hatuonani na hatujuani Ila tunakuwa connected somehow.

uhai wa binadamu sio kama uhai wa mbwa. Unaheshimiwa.

ukisikia mwana JF amefariki. Hata kama humjui. Ila kuna watu wakamuelezea kuwa alikuwa hivi na hivi na hivi (paying tribute) ni kitu kizur. Ingawa hakibadilishi chochote.

Ila ni kuthamin na kutambua siku zake alizoishi duniani.
 
Kwanza nimependa upo tayar kupambana kwa kazi yoyote pamoja na usomi wako,ni mtazamo mzuri sana,kwani siku zote mwanzo ni mgumu sana,halafu baadae unabadilikia juu kwa juu

Nikipata connection tutachekiana homie,na hii ndio maana nzima ya jf familia,naamini kupotia ombi lako hili wenye connection pia tumsamdie mwanafamilia mwenzetu
 
Kwanza nimependa upo tayar kupambana kwa kazi yoyote pamoja na usomi wako,ni mtazamo mzuri sana,kwani siku zote mwanzo ni mgumu sana,halafu baadae unabadilikia juu kwa juu

Nikipata connection tutachekiana homie,na hii ndio maana nzima ya jf familia,naamini kupitia ombi lako hili wenye connection pia tumsamdie mwanafamilia mwenzetu
 
tukiachana na vifo.
Kuna maradhi au maswahibu yanayoweza kumpata mtu kwa muda mrefu.

Ambayo watu wa JF wanaweza kuwa na msaada (kuchangia gharama za matibabu au mawazo, dawa au connection).

Nadhan ni muhim kujuana na watu wa JF hata wawili watatu.

Fact​

 
Moderators wana automatic R.I.P
 
Jf Ina watu tofauti tofauti kuna kundi kubwa sana la watu wao huwa hawapost,hawalike,Wala ku comment ni unknown na wakifa pia ni unknown nahs hili kundi pia limeondoka sana trh 29, RIP Anonymous people,SASA MIMI NDO MWENYEKITI WAO😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…