Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

nasikitika umechelewa kujua lakini pia nakupa hongera kwa kujua.
 
Wasanii music, films kuchora and other athelitic, mpaka viwanda vidogo vidogo, na bila kusahau microfinance,vikoba huku ndiko pipeline kabisa😂. charity organizations list ni ndefu sana .

Lakini cha msingi amani iwepo tuendelee kuhudumia families
 
Wamaskini kwa kujifariji!
Mtu akitoboa tu ni freemason au mtakatishaji fedha!
Tafuta pesa uwe na akili bila pesa huwezi kuwa na akili utakuwa lijinga maisha yote
 
Drug dealer hatakiwi kuwepo hapa
Kwanini? Huyu ndo mtakashaji mkubwa kuliko wote?
Kwahiyo fisadi moja serikalini akinunua ma basi ya abiria kutokana na pesa ya rushwa au hongo huo ni utakatishaji wa pesa??
Hapana. Mfano mwanasiasa kauza twiga billioni moja uarabuni. Hizo hela atashikiwa akiwanazo anaziweka mahali azitakatishe. Anaweza akaenda kwa mfanyabiashara wa mabasi. Akaununua mabasi kwa jina la mtu yule hata kumi. Wewe ukiamini ni mabasi ya mtu fulani kumbe sio
 
Reactions: I M
Wamaskini kwa kujifariji!
Mtu akitoboa tu ni freemason au mtakatishaji fedha!
Tafuta pesa uwe na akili bila pesa huwezi kuwa na akili utakuwa lijinga maisha yote
Na pesa ya hatari mkuu.
 
Well said mkuu.
 
Like shindano la juzi la kukari unajua pesa zake zimetoka wapi kupitia benki gani , na zimetumikaje?.

Kuelekea uchanguzi noti bandi Huwa Zina zagaa sana mitaani, je nu nani anezisambaza😂?,
Nchi masiki na money laundering ni vidole viwili vya chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…