Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Shemeji yako moja hv mkeka ulivotoka alipangiwa kule Songoro, alikua anajua kununua maji ni life la chuo saiv ashakua mnunuaji mzuriBado boda ujampa pesa ya usafir kwa mwenzi katoni kumi familia ikija utoboi kabisa
yatafute nimatamu sana.acha kunywa takataka hizoHapana
Utakabwa na mifupa ufwe!Ndio unakuwaga mtamuuuu si unajua
Kweli! Naonaga kama yamechotwa msimbaziSema kwelii ππ
Af ukizoea ngumu kuachaa unatuma pesa sasa au ndioShemeji yako moja hv mkeka ulivotoka alipangiwa kule Songoro, alikua anajua kununua maji ni life la chuo saiv ashakua mnunuaji mzuri
Sawayatafute nimatamu sana.acha kunywa takataka hizo
Haya ndio maji,.Kuna wageni walikuja Tanzania kukaa Kwa muda mrefu so wakaomba mwenyeji wao awaletee maji brands zote zinazopatikana hapa,.wakaanza kuyapima ubora na device fulani ipo Kama Pen..wakataka Udzungwa ndio wawe wanakunywa siku zote..Unachelewa wewe.. Maji ni Udzungwa
Sina cha kuyaelezea. Sifa zake zimeyatangulia
Sio rahisi ivyo weweUtakabwa na mifupa ufwe!
figo".......itakuwa luis figo.......m maji ya makopo nakunywa mara 1 moja tuu.......n bora ninywe ya dawasco yenye .....naiacha chlorine inavaporize nakunywa"Sijui
Yana chumviHaya ndio maji,.Kuna wageni walikuja Tanzania kukaa Kwa muda mrefu so wakaomba mwenyeji wao awaletee maji brands zote zinazopatikana hapa,.wakaanza kuyapima ubora na device fulani ipo Kama Pen..wakataka Udzungwa ndio wawe wanakunywa siku zote..
Mimi pia ndio Maji yangu haya..hata Kilimanjaro mazuri but Fake mengi mtaani
Uku hayapatikanTumia ya hills
Mh kwamba yana haribu figo?figo".......itakuwa luis figo.......m maji ya makopo nakunywa mara 1 moja tuu.......n bora ninywe ya dawasco yenye .....naiacha chlorine inavaporize nakunywa"
Kupanga mstari kusubiri supu ni umasikini uliotopea.Hans Poppe alikuwa anachinja ming'ombe mingi tunakula kimyakimya.Sio rahisi ivyo wewe
Wapii hukoUku hayapatikan
πππ kitimot si umekula bwa sheeKupanga mstari kusubiri supu ni umasikini uliotopea.Hans Poppe alikuwa anachinja ming'ombe mingi tunakula kimyakimya.
Mkuu labda huko uliko hayana chumvi,dar kupata maji ya bomba kunaitaji baraka za MunguBoil your water [emoji98] achani kuiga vitu vingine, mimi asubhi na miminia maji yangu in cooling jug na kuweka kwenye gari mpaka kazini.
ArushaWapii huko
Mbona siku hizi hayapatikani? Hata Mikumi siyaoni!Haya ndio maji,.Kuna wageni walikuja Tanzania kukaa Kwa muda mrefu so wakaomba mwenyeji wao awaletee maji brands zote zinazopatikana hapa,.wakaanza kuyapima ubora na device fulani ipo Kama Pen..wakataka Udzungwa ndio wawe wanakunywa siku zote..
Mimi pia ndio Maji yangu haya..hata Kilimanjaro mazuri but Fake mengi mtaani
Huwa nakula masikio na pua tu.Very delicious!πππ kitimot si umekula bwa shee