Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

Maji ya kilimanjaro ya dar ni tofaut na ya mkoani..
Maji ya Kilimanjaro ya mikoan ni mazuri yapo fresh na bora na yanauzwa buku kwa 1.5L
Kwa dar maji ya kilimanjaro hayana ubora kabsa, sijui koz yanatumika kwa wing dar high population ya watu, wanaweka malighaf kiasi tu. Dar 1.5 ni jero kariakoo
 
Acha uongo 1.5 miatano πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanzoni nilikuwa natuma na venye sio ile natuma hela afu nimwambie Ya maji hiyo😁, natuma tu kutokana na tunavoongeaga then yy ndo anabalance hii ya maji hii pedi hii msosi hii saloon etc
Kumbe jamaa sio bahili ngoja nikuozeshe binamu yangu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…