Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

Wewe ni lawyer ila nina shaka kukariri historia kumekuchanganya

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Hujajibu swali, daraja likibomoka au ghorofa likidondoka na kuleta madhara ndani ya kipindi cha ujenzi nani hua ni wa kwanza kuwajibishwa?
 
Kuna mambo mengine inabidi mtu kwa hiari yake ajiongeze tu, unaingia google au search engine nyingine unatafuta maana ya hayo maneno na kwanini tamaduni hiyo inatumika kwenye hiyo tasnia ya Sheria. Vinginevyo naanza kuamini kuhusu udogo wa IQ zetu sisi waafrika.
 
Fact
 
Uko sahihi mkuu. Tanzania ilishajiendea mtaroni tayari, kama siyo huyu mzee wa Kisukuma kuja kuilokota na kujaribu kuisimamisha. Nafahamu ataweza Inshallah maana hanaga kulemba. Watu walishajikatia tamaa sana mpaka wakawa wanasifu mpaka pumba. Watu wanaitwa mawakili wasomi kwa sababu tu wanatukana hovyo. Hivi kama hao wanaoitwa wasomi wangekuwa na PHD za sheria kama walivyo kina Tulia, Palamagamba na Mwakyembe wangeitwaje? Wanajiita wasomi kwa sababu tu mfumo wa nchi ulicorrupt huko nyuma so wakili akimhonga judge na kushinda kesi tayari ni msomi kishinda wengine. Hivi kweli kuna wakili asie msomi? Uko sahihi na hilo swali lako mkuu.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Kibatala au Tundu Lissu naye ni wakili msomi
 
JF msomi
 
Kazi kweli kweli
 
Lazima ithibitike mbele ya mwanasheria kwamba daraja hili limeporomoka kwa sababu 1, 2,3.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Lazima ithibitike mbele ya mwanasheria kwamba daraja hili limeporomoka kwa sababu 1, 2,3.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Hiyo siyo sababu kuwa mwanasheria anajua chemistry.

Alichokifanya japo ni kurejea taratibu za namna ratio inavyotakiwa kuwa na je taratibu hizo zilifuatwa ama laa.
 
wewe wasema.
 


kale ipi hiyo mkuu? hapo mangwini ndio mnaniacha hoi
 
Hata madaktari wanatibu mtu yeyote yule uwe engineer, lawyer, mwizi, Rais, mbakaji nk kwanini hawaitwi Daktari msomi


ata wahandisi wanawasaidia lawyers,doctors,wahasibu,walimu na watu wengine kwanini wasiitwe wahandisi wasomi
 
Sio linaenea siku hizi, ni kwamba wewe ndio umeanza kusikia siku hizi baada ya teknolojia ya habari kukua. Lakini tangu dahari members WOTE wa legal profession hutambuana kama wasomi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…