Acha kujikweza fani zote sawa tu hakuna iliyomzidi mwingineUkiwa LAWYER utaelewa Mkuu...na ndo maana hata tukiwa vyuoni hatupendwi na facult zingine.! I'M PROUD TO BE A LEARNT FELLA,...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakili ni wakili tu hakuna wakili msomi.Sio linaenea siku hizi, ni kwamba wewe ndio umeanza kusikia siku hizi baada ya teknolojia ya habari kukua. Lakini tangu dahari members WOTE wa legal profession hutambuana kama wasomi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaitwa msomi kwa sababu kuu mbili( at least kwa ninazozifaham).Neno Wakili Msomi naona linaenea kwa kasi kubwa huwa sielewi lina maanisha nini linapotumika hasa hasa na Watangazaji wetu wa vyombo vya habari! nikijua kabisa huwezi kuwa wakili kama sio mwanasheria ambaye ni msomi.
Na kila fani kwa waliokwenda shule hasa level za chuo kikuu huwa ni wasomi.
Sasa kwanini wanaitwa Wakili Msomi je Kuna wakili asiye msomi au??
Mimi si mwanasheria!!
Basi na madaktari watasema kila profession wakiugua wanakimbilia kupata suluhisho la kuponesha uhai wao kwake sasa na madaktari mbona hawajiiti madaktari wasomi.Wanaitwa msomi kwa sababu kuu mbili( at least kwa ninazozifaham).
1. Kazi zao zinacut across all other professions...mfano, medical doctor, accountant, engineer, etc. Akipatwa na shida ya kisheria inayohusu profession yake ataenda kwa mwanasheria, na mwanasheria atamsaidia kwa weledi kabisa.
Vivyo hivyo hakuna hakim/ jaji ambae kesi ikija ya medicine au engineering atasema sijui hayo mambo, bali ataamua kwa weledi kabisa.
Mfano mzuri, mahakaman anaeza shtakiwa mtu kwa kitu ambacho mwanasheria sio mtalam wa huko, lakini wakati wa kesi, wakili atamuhoji shahidi maswali yanayohusu profession yake hadi shahid anaeza kubaliana na mwanasheria. Kumbuka Lissu alimvohoji yule polisi wakati wa kesi ya Maxence Melo wa humu jf, jamaa alinywea.
Sasa huo uwezo wa kuweza kuyajua au kudeal na mambo ya profession zote unazozijua hapa duniani tena kwa wakati mfupi, ndio unafanya mwanasheria kua mtu wa kipekee na wa tofaut na profession nyingine, na akaitwa "learned brother" kwa kiswahili *msomi*.
Hence, all other professions are "educated" but only lawyers are "learned".
2. Sababuya pili ni a bit insignificant, na ni ya kihistoria au kimahakama zaid.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulihitaji kusikia majibu kama haya safi sanaWakili ni mtu yeyote anaesimama kumtetea mtu Fulani. Lakini wakili msomi ni mtu mwenye Elimu ya uwakili/kaingia darasani kusoma uwakili(sheria).
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Wanaitwa msomi kwa sababu kuu mbili( at least kwa ninazozifaham).
1. Kazi zao zinacut across all other professions...mfano, medical doctor, accountant, engineer, etc. Akipatwa na shida ya kisheria inayohusu profession yake ataenda kwa mwanasheria, na mwanasheria atamsaidia kwa weledi kabisa.
Vivyo hivyo hakuna hakim/ jaji ambae kesi ikija ya medicine au engineering atasema sijui hayo mambo, bali ataamua kwa weledi kabisa.
Mfano mzuri, mahakaman anaeza shtakiwa mtu kwa kitu ambacho mwanasheria sio mtalam wa huko, lakini wakati wa kesi, wakili atamuhoji shahidi maswali yanayohusu profession yake hadi shahid anaeza kubaliana na mwanasheria. Kumbuka Lissu alimvohoji yule polisi wakati wa kesi ya Maxence Melo wa humu jf, jamaa alinywea.
Sasa huo uwezo wa kuweza kuyajua au kudeal na mambo ya profession zote unazozijua hapa duniani tena kwa wakati mfupi, ndio unafanya mwanasheria kua mtu wa kipekee na wa tofaut na profession nyingine, na akaitwa "learned brother" kwa kiswahili *msomi*.
Hence, all other professions are "educated" but only lawyers are "learned".
2. Sababuya pili ni a bit insignificant, na ni ya kihistoria au kimahakama zaid.
Sent using Jamii Forums mobile app
Issue sio kujua professional nyingine...usitudanganye bwana.Hapo ni suala la kumbana mtu kisheria tu kutokana na tukio.Hebu tusidanganyane bwana.Wanaitwa msomi kwa sababu kuu mbili( at least kwa ninazozifaham).
1. Kazi zao zinacut across all other professions...mfano, medical doctor, accountant, engineer, etc. Akipatwa na shida ya kisheria inayohusu profession yake ataenda kwa mwanasheria, na mwanasheria atamsaidia kwa weledi kabisa.
Vivyo hivyo hakuna hakim/ jaji ambae kesi ikija ya medicine au engineering atasema sijui hayo mambo, bali ataamua kwa weledi kabisa.
Mfano mzuri, mahakaman anaeza shtakiwa mtu kwa kitu ambacho mwanasheria sio mtalam wa huko, lakini wakati wa kesi, wakili atamuhoji shahidi maswali yanayohusu profession yake hadi shahid anaeza kubaliana na mwanasheria. Kumbuka Lissu alimvohoji yule polisi wakati wa kesi ya Maxence Melo wa humu jf, jamaa alinywea.
Sasa huo uwezo wa kuweza kuyajua au kudeal na mambo ya profession zote unazozijua hapa duniani tena kwa wakati mfupi, ndio unafanya mwanasheria kua mtu wa kipekee na wa tofaut na profession nyingine, na akaitwa "learned brother" kwa kiswahili *msomi*.
Hence, all other professions are "educated" but only lawyers are "learned".
2. Sababuya pili ni a bit insignificant, na ni ya kihistoria au kimahakama zaid.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina imani pia kutakuwepo na ' Mbanduaji ' Msomi.
Waambie bwana hao wanaotaka kujiita bora zaidi ya wengineAcha utoto wewe usifananishe huyo askari ambae kahojiwa na sisi wahandisi na ndugu zetu madaktari na watu wote wa sayansi....yani kuhojiwa askari ndio unasema fani zote
Ndiyo hapo Sasa....mbona hawajikwezi na kama ni usomi wamesoma sana tu!Basi na madaktari watasema kila profession wakiugua wanakimbilia kupata suluhisho la kuponesha uhai wao kwake sasa na madaktari mbona hawajiiti madaktari wasomi.
Wewe mwenyewe daktari unafikiri sikujui.lakini hujikwezi una act as if ur notNdiyo hapo Sasa....mbona hawajikwezi na kama ni usomi wamesoma sana tu!
Shule ndefu ni miles ngapi?Kama anashule ndefu kwa nini asiwe msomi