Utamjuaje mwanaume ambaye tayari yuko kwenye ndoa ama mahusiano mengine?

Sikuhizi imekuwa vigumu sana kumtambua mwanaume ambaye tayari ameshaoa!

Kwa uzoefu wako mdau,naomba mnisaidie Niko matatani!
Nitamtofautisha vipi ambaye ameoa na ambaye sie ilihali sikai eneo LA karibu na anadai kunipenda ?
Enjoy love n sex as it lasts! Maswala ya kujifanya FBI kwenye mahusiano hutakaa ufurahie wala!
 
Nikijua ni mume wa MTU nitamuacha kwa sababu ninapenda nijipatie wa kwangu!

Ila kuhusiana na kuwasiliana yuko active sana kuchat asubuhi mpk muda ya SAA mbili anawahi kuaga

Na huyu kijana sijakuwa naye hata mwezi uishe ila matendo yake yananishtua
 
Wewe uwe unapenda kuongea naye usiku kwenye simu .,

Utaona anakupa ratiba kibaooo


Lkn kwann akufiche?? Mimi nikitaka mwanamke, namwambia tu, aisee nmekuelewa ila Nina familia, tunaweza Kulana ??

Na mwitikio unakua mzuri tu.
Hivi unawajua hawa wababa wa wizara mbali mbali waliopelekwa Dodoma? Na wale ambao wake zao wamepelekwa Dodoma?
Unaweza kuongea nao na simu hata hadi panakucha maana wapo wenyewe.
 
Siku zote hata gari ya kuazima hua inanoga sana kuliko yakoπŸ˜… ina excitement tofauti sana!
 
Hivi unawajua hawa wababa wa wizara mbali mbali waliopelekwa Dodoma? Na wale ambao wake zao wamepelekwa Dodoma?
Unaweza kuongea nao na simu hata hadi panakucha maana wapo wenyewe.
Yeah it is true!
 
Sikuhizi imekuwa vigumu sana kumtambua mwanaume ambaye tayari ameshaoa!

Kwa uzoefu wako mdau,naomba mnisaidie Niko matatani!
Nitamtofautisha vipi ambaye ameoa na ambaye sie ilihali sikai eneo LA karibu na anadai kunipenda ?
1: Kwanza kwenye mawasiliano lazma atakuwa bussy mno pili hutaweza kuongea nae kwa kujiachia mda ote usiku

2:Atakuwa anakugongea gest tu kila ukitaka kwenda kwake utakuwa unakula sababu 10000

3: Ngumu kuwajua marafiki zake,na hata kama utawajua basi watakua wachache sana

4: Mitoko mtakuwa mnatoka sehemu za mbali kabisa na maeneo ya kujificha
 
Hata Nipe techniques sasa
Techniques hapo haina haja kwa sababu mie ni expert wa hizo shughuli hapo kuna yafuatayo!

1.Jamaa anaishi na demu wake wa malengo na muda ambao anarudi home ni kuanzia saa 2. So lazma akupange ili usipige simu.

2.Jamaa ana mke ambaye tayari wamefunga ndoa so muda ambao unataka kumpigia simu akiwa na mkewe hawezi pokea on the spot. Siku mkewe akiwa hayupo ndio ataongea na wewe free hadi utashangaa!

3. Hawezi kulala kwako overnight au sleepovers zile. Lazma arudi kwake yani by any means πŸ˜…

4.Kufika kwake sahau yani labda siku mkewe akiwa hayupo kasafiri πŸ˜‚ na huwezi ruhusiwa kwenda kwenda hovyo!

NB: Maisha hayo magumu sana yani niliwahi kuyaishi na manz mmoja alikuwa ananibana kweli nimpeleke kwangu kwa kweli ilikuwaga shughuli yani anaboreka kwanini namkazia kumpeleka kwanguπŸ˜… kumbe kule kuna mke mwenzie dahπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ujana maji ya moto sikuhizi tumekuwa lakini!
 
Kwani mnakutana wap ... Huendi kwao ... Alaf mwanaume ana miaka 31 anakaa kwao huo ni uzembe . Umwambie akapang

Ahsante eee,au ndio maaana nikimpigia muda mingine anaongea kwa nguvu kama hanisikii afu ananiita madam
 
Yaaani ahsante nimepata vitu vya kunisaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…