Mnaongea vipi, hakuna limitation ya kupiga kutuma msg n.k? Je unampata muda wowote unaomuhitaji au mpaka muweke ratiba? Mkikutana hua mnaspend usiku mzima au ni lazima arudi nyumbani akalale? Unaenda kwake utakavyo? Maongezi yake yako vipi ?
Kama yote hayo bado na unataka kujua basi jaribu
Kumpigia simu usiku uone kama atapokea na kama ukipokea je mtaongea kwa uhuru na kujiachia kama mnavyoongeaga muda mwingine,
Jaribu, kutaka kuspend nae usiku mzima au hata siku mbili mfululizo
Kama hujawahi fika kwake pambania uende
Ila ukijua ni mume wa mtu utamuacha?
Anyway mume wa mtu mtamu na mzuri ila raha awe amekuambia mwenyewe na umeridhia apo utaenjoy [emoji23]