Utani wa watu ninaoupenda hapa JF pamoja na watu na mada utakazowakuta

Jela kukoje kijana naona mods walikupeleka segerea kwa muda
Kaka niseme ukweli, kwenda mule June nifanya nijue nakubalika vipi 😊.

Imagine Nili anzishiwa hadi Uzi, na ndo uli saidia mi kurejeshwa kwa harakaπŸ˜‚.

Sema Hatuwezi ku view Uzi, au kufungua pm, una takuta chanzo cha wewe kupewa ban tu🀣
 
Kumbe hadi Uzi ulifunguliwa? Hata sikuona eb nimention nije kuuona huo Uzi
 
Ukitaka Kiranga uone komenti yake wewe anzisha mada ya kusema Mungu yupo, kama si komenti ya kwanza mpaka ya tano tangu mada ianzishwe labda hayupo onlineπŸ˜‚πŸ˜‚ huwa nafurahi sana.
yeye ni mwenyekiti wa chama. Huwa anakuja anapoona jahazi linazama🀣🀣🀣
 
Hao jamaa ni vituko mzee, mmoja mshabiki lialia wa Arsenal mwingine Manchester united.
nina watu naanza kuwaweka viporo nione utani wao.
Kuna Selikavu
NimemUona Half american na Intelligent businessman wanaki chemistry fulani hivi.

Yote kwa yote huwezi kumkuta dronedrake kwenye uzi wa pascal mayalla au wa Mama amonπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyu jamaa NDOA YAKE INA MIAKA 10 na ana watoto wanne ila ni kinara wa kushawishi watu wasioe🀣🀣🀣
 
Wanasema za kuambiwa changanya na zako huu n ushauri wa bure kwa kataa ndoa.

Huyo Intelligent businessman ni mtoto mdogo sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sema basi tu. Ephen na Lucas wanapendana sana. Ila Lucas ninahisi yupo anakimbila 45+ ila ephen akizidi sana ni 25 hata yeye hawez bisha
Nimecheka sanaπŸ˜‚
Upo sahihi mimi nipo below 25, Lucas Mwashambwa kagoma kunitajia umri wake
Mimi namkubali lucas damu zetu zimeendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…