Utapeli wa Dawa ya 'HIT' katika kuua Mbu

Hata ungemweka kwenye kopo la Hiti humo humo bado ungekuta anatembea
 
Tumia hii ni nzuri.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… unawafuga mkuu?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…jana nilikuwa napiga story na wife namwambia hawa mbu sio wa kawaida.
Nahisi tumeletewa biological weapons.
Mbu wanawasha kama viwavi ndio mbu gani?
 
Hizo uliambiwa ni dawa za kuuwa mbu?

Hizo ni dawa za kufukuza mbu (repellants).


Dawa ya kuuwa mbu hutumika kwa nje ya nyumba, zikipuliziwa ndani ya nyumba itabidi, kwa uchache, siku tatu usiingie ndani ya hiyo nyumba. Ukijifanya mkaidi utakufa wewe.
 
Wapi ulipoambiwa HIT ni dawa ya kuuwa kunguni?
 
Biadhaa Tanzania ni utapeli Mtupu hata maji ya Kopo haya tunayonunua ukifatilia kwa makini utaona ni maji feki.

Sema walishapewa nembo za kubandika za Mamlaka husika basi haya maji ya nomba wanatuwekea tu
Hivi maji ya Kilimanjaro umekunyw hivi recently..? Maji ya chumvi kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…